Ushauri: Namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa sehemu ya mwili wake inatoa harufu kali

Ushauri: Namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa sehemu ya mwili wake inatoa harufu kali

Kwani umejuaje kama wewe hunuki?umejinusa au umenuswa na nani ukaambiwa wewe unanukia pafyumu?Tunaonuka hatu jijui mkuu inawezekana mwenzako ndio anakuvumilia.Mm binafsi nkishawahi mvumilia manzi kumbe na yeye ananivumilia sema zangu nlizipata Kwa shoga yake.
 
Back
Top Bottom