Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
OBD II Scanner ni kale kamashine ka kukuambia matatizo mbalimbali ya gari ata kabla taa ya njano haijawaka kwenye dashboard yako.Naomba nifafanulie namba 3 halafu hiyo namba 4 naomba nisaidie na link tafadhali kama unaweza
Unaweza ukanunua au ukawa unaenda kupima.
Kwa kuanza nakushauri anza kwenda kupima kwa mtu mfano JituMirabaMinne anakupa full report. Maana inakupa summary sana.
Kuhusu namba 4, nakutumia namba za admins inbox.