Ushauri: Namna ya kupangilia mshahara

Ushauri: Namna ya kupangilia mshahara

IMG_20170318_222833_951.JPG
 
Habari ya Jumapili wadau,

Mimi kijana wa miaka 25 ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea kuna kazi naifanya ambayo kwa mwenzi huwa inaniingizia kipato cha laki tatu(300000). Sasa nilikuwa nahitaji mpangilio mzuri wa matumizi wa haka kamshahara kangu ili nipate kubaki na akiba hata wazazi siku wakihitaji msaada wa kifedha nipate kuwasaidia.

Naombeni ushauri wenu mlionitangulia katika maisha ya kujitegemea.
Hakuna ushauri wa maana hapa maana hatuyajui maisha yako yakoje..... Unaishi wap, una wategemezi wangap, vipaumbele vyako n. K
 
Kwani we unafikiri akili zako za kuelewa zinafanana na zangu? Kama huwezi kushauri pita pembeni si kila kitu lazima ukoment
 
Habari ya Jumapili wadau,

Mimi kijana wa miaka 25 ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea kuna kazi naifanya ambayo kwa mwenzi huwa inaniingizia kipato cha laki tatu(300000). Sasa nilikuwa nahitaji mpangilio mzuri wa matumizi wa haka kamshahara kangu ili nipate kubaki na akiba hata wazazi siku wakihitaji msaada wa kifedha nipate kuwasaidia.

Naombeni ushauri wenu mlionitangulia katika maisha ya kujitegemea.
Acha kunywa pombe utafanikiwa:- coz DP yako umeweka "konyagi" it suggests kwamba that's your favourite pleasure, so iache dogo
 
Habari ya Jumapili wadau,

Mimi kijana wa miaka 25 ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea kuna kazi naifanya ambayo kwa mwenzi huwa inaniingizia kipato cha laki tatu(300000). Sasa nilikuwa nahitaji mpangilio mzuri wa matumizi wa haka kamshahara kangu ili nipate kubaki na akiba hata wazazi siku wakihitaji msaada wa kifedha nipate kuwasaidia.

Naombeni ushauri wenu mlionitangulia katika maisha ya kujitegemea.
Anza kwakuwa mkweli pia nidhamu,
Mfano kwa kuanzia jisahihishe mwenyewe kwa kurekebisha umri wako, coz kwenye profile yako umeandika 28, afu kwenye uzi wako 25...

Inaonesha kiasi gani haupo smat yani mwongomwongo ikiwa hivo ikawa tabia kutoboa ni ngumu... maisha yanataka ukweli.
 
hakikisha gharama/matumizi (expenses) yako ni kwa BASIC NEEDS tu, starehe kwako mwiko saivi mpaka utakapo ongeza income yako. tena ivyo vyakula uwe unakula vile affordable (ugali,dagaa,harage etc) nyama unakula kwa mwezi mara moja tu.
 
Back
Top Bottom