marinji
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 421
- 497
Mmmhhh kamba hiiDuh! Unaishije kwa laki tatu? Mimi ni milioni tatu kasoro ila bado mambo magumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhhh kamba hiiDuh! Unaishije kwa laki tatu? Mimi ni milioni tatu kasoro ila bado mambo magumu.
shukranJitahidi matumizi yako kwa siku yasizidi elfu 5 ili mpaka mwezi ukiisha uwe umebakiwa na angalau laki 1
CHF ada 10000 kwa mwakaMkuu bima gani anaweza kata na bei gani ebu saidia hapo
Hakuna ushauri wa maana hapa maana hatuyajui maisha yako yakoje..... Unaishi wap, una wategemezi wangap, vipaumbele vyako n. KHabari ya Jumapili wadau,
Mimi kijana wa miaka 25 ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea kuna kazi naifanya ambayo kwa mwenzi huwa inaniingizia kipato cha laki tatu(300000). Sasa nilikuwa nahitaji mpangilio mzuri wa matumizi wa haka kamshahara kangu ili nipate kubaki na akiba hata wazazi siku wakihitaji msaada wa kifedha nipate kuwasaidia.
Naombeni ushauri wenu mlionitangulia katika maisha ya kujitegemea.
Kwani we unafikiri akili zako za kuelewa zinafanana na zangu? Kama huwezi kushauri pita pembeni si kila kitu lazima ukomentHakuna ushauri wa maana hapa maana hatuyajui maisha yako yakoje..... Unaishi wap, una wategemezi wangap, vipaumbele vyako n. K
Mkuu hii ipo Tanzania nzima?CHF ada 10000 kwa mwaka
Acha pombeDuh! Unaishije kwa laki tatu? Mimi ni milioni tatu kasoro ila bado mambo magumu.
Acha kunywa pombe utafanikiwa:- coz DP yako umeweka "konyagi" it suggests kwamba that's your favourite pleasure, so iache dogoHabari ya Jumapili wadau,
Mimi kijana wa miaka 25 ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea kuna kazi naifanya ambayo kwa mwenzi huwa inaniingizia kipato cha laki tatu(300000). Sasa nilikuwa nahitaji mpangilio mzuri wa matumizi wa haka kamshahara kangu ili nipate kubaki na akiba hata wazazi siku wakihitaji msaada wa kifedha nipate kuwasaidia.
Naombeni ushauri wenu mlionitangulia katika maisha ya kujitegemea.
Ndio tena kila Kata,Mkuu hii ipo Tanzania nzima?
Anza kwakuwa mkweli pia nidhamu,Habari ya Jumapili wadau,