Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
mawazo yako ni mema sana unachopaswa kufanya ni kujua ni benki gani yenye faida nakushauri uwekeze kwa kununua vipande UTT
NOMkuu, do you mean this thing? UTT - Tanzania Economy
Nani hao? Uzuri na ubaya wao?
Hivi hawa watu ambao tunawekeza kwa kuchukua shares, huwa haitokei wakafilisika halafu wakakuambia ndio hivyo, hatuwezi kukulipa umeingia hasara? Hiyo risk huwa mnaicontrol vipi?Kama una discipline na kuweka fedha kwenye saving account yako na kutoitumia hasa kwa kutumia atm card hata iweje then iache iwe inakata kwenye account yako hizo excess cash kila mwezi. Kisha baada ya mwaka najua utakuwa na zaidi ya milioni 5 au 3 hapo sasa naenda kwa broker yeyote aliyesajiliwa na soko la hisa ununue hati fungani au treasury bill za kuanzia miaka 5 kwenda juu. Utakuwa unalipwa kuponi kila baada ya miezi sita. Kianzio ni milioni 2, huo ni uwekezaji mzuri na 100% paid. Huhitaji kasimamia wala kufatilia pesa yako itaingizwa kwenye account kila inapoiva. Pia usikubali kukatishwa tamaa na wataokwambia hizo hadi uwe na milioni 200 au 300. Ndomaana ikawekwa kianzio cha chini au minimum balance kuwa ni million 2. Kwenye uwekezaji wowote zingatia kuwa kidogo kidogo hujaza kibaba.
Kila la kheri kwenye uwekezaji.
Hivi hawa watu ambao tunawekeza kwa kuchukua shares, huwa haitokei wakafilisika halafu wakakuambia ndio hivyo, hatuwezi kukulipa umeingia hasara? Hiyo risk huwa mnaicontrol vipi?
You have my full attention. Msaada na maelezo zaidi kwenye eneo hili tafadhaliKama una discipline na kuweka fedha kwenye saving account yako na kutoitumia hasa kwa kutumia atm card hata iweje then iache iwe inakata kwenye account yako hizo excess cash kila mwezi. Kisha baada ya mwaka najua utakuwa na zaidi ya milioni 5 au 3 hapo sasa naenda kwa broker yeyote aliyesajiliwa na soko la hisa ununue hati fungani au treasury bill za kuanzia miaka 5 kwenda juu. Utakuwa unalipwa kuponi kila baada ya miezi sita. Kianzio ni milioni 2, huo ni uwekezaji mzuri na 100% paid. Huhitaji kasimamia wala kufatilia pesa yako itaingizwa kwenye account kila inapoiva. Pia usikubali kukatishwa tamaa na wataokwambia hizo hadi uwe na milioni 200 au 300. Ndomaana ikawekwa kianzio cha chini au minimum balance kuwa ni million 2. Kwenye uwekezaji wowote zingatia kuwa kidogo kidogo hujaza kibaba.
Kila la kheri kwenye uwekezaji.
Mkuu Naomba nikuPmmawazo yako ni mema sana unachopaswa kufanya ni kujua ni benki gani yenye faida nakushauri uwekeze kwa kununua vipande UTT
sawa hamana tatizoMkuu Naomba nikuPm