Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
Hii serikali ya Magufuli kiboko, mipango mingi imebuma! Sasa hebu nipe ushauri hapa. Uwekezaji wa kibank, fixed account unalipa? Yaani napata vijisent kila mwezi lakini income haiko fixed, labda, mil 1 mwezi huu, laki tano mwezi ujao, elfu 100, etc., kama kipato cha ziada baada ya kuondoa matumizi.
Je, nawezaje kuwekeza bank, kivipi? Au una ushauri gani?
Sitaki biashara inayonitaka niwepo mahali physically, wala kuajiri watu na kuanza kusumbuana nao, hasa wabongo - pasua kichwa!
Je, nawezaje kuwekeza bank, kivipi? Au una ushauri gani?
Sitaki biashara inayonitaka niwepo mahali physically, wala kuajiri watu na kuanza kusumbuana nao, hasa wabongo - pasua kichwa!