Ushauri namna ya kuwekeza vijisent

Ushauri namna ya kuwekeza vijisent

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,662
Hii serikali ya Magufuli kiboko, mipango mingi imebuma! Sasa hebu nipe ushauri hapa. Uwekezaji wa kibank, fixed account unalipa? Yaani napata vijisent kila mwezi lakini income haiko fixed, labda, mil 1 mwezi huu, laki tano mwezi ujao, elfu 100, etc., kama kipato cha ziada baada ya kuondoa matumizi.

Je, nawezaje kuwekeza bank, kivipi? Au una ushauri gani?

Sitaki biashara inayonitaka niwepo mahali physically, wala kuajiri watu na kuanza kusumbuana nao, hasa wabongo - pasua kichwa!
 
kwa mawazo yako sina ushauri labda ubadili mawazo. Mengi, Manji, Mo na wengineo hawapo kwenye biashara zao lakini zinaaendelea.
Kanuni ya biashara endelevu: Anzisha biashara, ajiri wengie waendeshe.
 
Kama una discipline na kuweka fedha kwenye saving account yako na kutoitumia hasa kwa kutumia atm card hata iweje then iache iwe inakata kwenye account yako hizo excess cash kila mwezi. Kisha baada ya mwaka najua utakuwa na zaidi ya milioni 5 au 3 hapo sasa naenda kwa broker yeyote aliyesajiliwa na soko la hisa ununue hati fungani au treasury bill za kuanzia miaka 5 kwenda juu. Utakuwa unalipwa kuponi kila baada ya miezi sita. Kianzio ni milioni 2, huo ni uwekezaji mzuri na 100% paid. Huhitaji kasimamia wala kufatilia pesa yako itaingizwa kwenye account kila inapoiva. Pia usikubali kukatishwa tamaa na wataokwambia hizo hadi uwe na milioni 200 au 300. Ndomaana ikawekwa kianzio cha chini au minimum balance kuwa ni million 2. Kwenye uwekezaji wowote zingatia kuwa kidogo kidogo hujaza kibaba.
Kila la kheri kwenye uwekezaji.
 
Hivi hawa watu ambao tunawekeza kwa kuchukua shares, huwa haitokei wakafilisika halafu wakakuambia ndio hivyo, hatuwezi kukulipa umeingia hasara? Hiyo risk huwa mnaicontrol vipi?
 
Bavaria na mwingine simkumbuki vizuri (kwenye ule uzi wa shares siku ile mlidadavua vizuri) naomba mnisaidie kumuelezea Simplicity uwekezaji wa hisa na hasara zake kupitia soko la hisa.
 
Kama una discipline na kuweka fedha kwenye saving account yako na kutoitumia hasa kwa kutumia atm card hata iweje then iache iwe inakata kwenye account yako hizo excess cash kila mwezi. Kisha baada ya mwaka najua utakuwa na zaidi ya milioni 5 au 3 hapo sasa naenda kwa broker yeyote aliyesajiliwa na soko la hisa ununue hati fungani au treasury bill za kuanzia miaka 5 kwenda juu. Utakuwa unalipwa kuponi kila baada ya miezi sita. Kianzio ni milioni 2, huo ni uwekezaji mzuri na 100% paid. Huhitaji kasimamia wala kufatilia pesa yako itaingizwa kwenye account kila inapoiva. Pia usikubali kukatishwa tamaa na wataokwambia hizo hadi uwe na milioni 200 au 300. Ndomaana ikawekwa kianzio cha chini au minimum balance kuwa ni million 2. Kwenye uwekezaji wowote zingatia kuwa kidogo kidogo hujaza kibaba.
Kila la kheri kwenye uwekezaji.
You have my full attention. Msaada na maelezo zaidi kwenye eneo hili tafadhali
 
Nenda UTT au BoT.
UTT (Unit Trust of Tanzania --www.utt-tz.org)
utachagua fund (Umoja,Ukwasi au Jikimu au Wekeza maisha).Kama pesa zinazidi 2m anzia Jikimu fund.Kama zinazidi 5m anzia Ukwasi Fund.Waweza Kuchimba pesa yako anytime,ukishapata idea nzuri ya biashara.In the meantime fedha yako itakuwa invested,na kujua faida kwa rate sawa na treasury bills.
BoT:Waweza kujiandikisha Kupitia BoT au Wakala yoyote wa Soko la Mitaji.Minimumu ni 500,000/-Hii itakufanya uingie kwenye mnada wa dhamana za serikali (Treasury bills etc) kila zinapouzwa.
 
UTT mizinguo hatareeee...at least mtu ujiegemeze kwenye Treasury bill
 
Back
Top Bottom