Ushauri: Napandwa na hasira bila sababu pia nimejikuta sipendi kujichanganya na watu. Nifanyeje kuondokana na hali hii?

Hiyo ni dalili mojawapo ya magonjwa ya akili; jitahidi ufike karibu na kituo cha afya kilichopo karibu nawe kwa ushauri zaidi.
 


Jaribu meditation utapona hiyo hali na utaanza kupenda na watu na hasira zitaisha
 
ni kweli mama yangu pia anayo iyo tabia
 
am also going through this
 
Vijana siku hiz wamekua lege lege sana.
Wanaugua magonjwa ya ya kizungu kama kuku wa broiler.
Sasa mtu unaoandwa tu na hasira et huwez kujinganya? Acha uchanganyikiwe ukafie mbali huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…