Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Tafuta hela dogo upunguze kutafuta taarifa za watu.Umefunga shule eeh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta hela dogo upunguze kutafuta taarifa za watu.Umefunga shule eeh?
Hellow
Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue .
Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira zikapanda ghafla nikaaza jibu watu ovyo pia najikuta napenda kukaa peke yangu sana sipendi kukaa na watu now days watu wakija kushare idea nachukia kitu hiki kimeendelea mpaka kwenye mahusihano yangu
Lovely aneweza nipigia simu vizuri kabisa ila wakati naongea nae najikuta hasira zinapanda nakata simu au namjibu majibu ya ovyo then nikitulia najutia nashindwa jizuia na hii hali mpaka sasa napenda interactions lakinI ndio hivyo halii inanizidi nguvu how I can overcome this problem 😌
Meditation is not an easy thing mkuu. Pengine hata wewe huijui kabisa namna ya kufanya practicallyJaribu meditation utapona hiyo hali na utaanza kupenda na watu na hasira zitaisha
Ahaaa aisee we jamaaa ugumu wake ni nn 😁Meditation is not an easy thing mkuu. Pengine hata wewe huijui kabisa namna ya kufanya practically
hapna mkuuMwachiluwi Haujawahi kufikiria matumizi yoyote ya kamba?
ni kweli mama yangu pia anayo iyo tabiaKwa mtizamo wangu na experience ndogo ya Hali kama hiyo naweza kusema yafuatayo pengine yaweza kukusaidia .......
Kwanza ujue tabia ya binadamu inajengwa kwa mazingira,vina Saba ,pamoja na malezi Sasa kwa kuangalia vitu vyote hivyo Moja kwa Moja naweza kusema shida yako inatokana na malezi pamoja na mazingira ,so yawezkana Katika ukuaji wako umelelewa na wazazi ,au mzazi ,ndugu ,au watu tofauti so naamini malezi ya baba na mama ni tofauti na malezi mengine so yaweza athiri Hali yako kama Mimi nimelelewa na ndugu tofauti na wazazi wangu japo ndugu zangu wengine walilelewa na wazazi Kuna vitu naviona kwangu kama vilikosekana Katika malezi yangu so Kuna tabia zimeletwa na hayo malezi ,vile vile kwenye ishu ya mazingira pia ni muhimu kuangalia na zaidi angalia vinasaba kwa kuangalia Katika familia ni wewe tuu mwenye iyo shida ........ aksante
am also going through thisHellow
Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue .
Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira zikapanda ghafla nikaaza jibu watu ovyo pia najikuta napenda kukaa peke yangu sana sipendi kukaa na watu now days watu wakija kushare idea nachukia kitu hiki kimeendelea mpaka kwenye mahusihano yangu
Lovely aneweza nipigia simu vizuri kabisa ila wakati naongea nae najikuta hasira zinapanda nakata simu au namjibu majibu ya ovyo then nikitulia najutia nashindwa jizuia na hii hali mpaka sasa napenda interactions lakinI ndio hivyo halii inanizidi nguvu how I can overcome this problem 😌
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tungekupa dawa ila utatutukana kwa hasira zako.
HIV ndo inahusu na hili tatizo la Mwachi?Taste HIV
Wee unaweza ukawa uko sahihi kabisaaa.Hayo ni matokeo ya POST TRAUMATIC EXPERIENCE. Naweza kukusaidia Mkuu.
Just PM me,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana siku hiz wamekua lege lege sana.
Wanaugua magonjwa ya ya kizungu kama kuku wa broiler.
Sasa mtu unaoandwa tu na hasira et huwez kujinganya? Acha uchanganyikiwe ukafie mbali huko.