Ushauri: Napandwa na hasira bila sababu pia nimejikuta sipendi kujichanganya na watu. Nifanyeje kuondokana na hali hii?

Ushauri: Napandwa na hasira bila sababu pia nimejikuta sipendi kujichanganya na watu. Nifanyeje kuondokana na hali hii?

Hiyo ni dalili mojawapo ya magonjwa ya akili; jitahidi ufike karibu na kituo cha afya kilichopo karibu nawe kwa ushauri zaidi.
 
Hellow

Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue .

Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira zikapanda ghafla nikaaza jibu watu ovyo pia najikuta napenda kukaa peke yangu sana sipendi kukaa na watu now days watu wakija kushare idea nachukia kitu hiki kimeendelea mpaka kwenye mahusihano yangu

Lovely aneweza nipigia simu vizuri kabisa ila wakati naongea nae najikuta hasira zinapanda nakata simu au namjibu majibu ya ovyo then nikitulia najutia nashindwa jizuia na hii hali mpaka sasa napenda interactions lakinI ndio hivyo halii inanizidi nguvu how I can overcome this problem 😌

Jaribu meditation utapona hiyo hali na utaanza kupenda na watu na hasira zitaisha
 
Kwa mtizamo wangu na experience ndogo ya Hali kama hiyo naweza kusema yafuatayo pengine yaweza kukusaidia .......
Kwanza ujue tabia ya binadamu inajengwa kwa mazingira,vina Saba ,pamoja na malezi Sasa kwa kuangalia vitu vyote hivyo Moja kwa Moja naweza kusema shida yako inatokana na malezi pamoja na mazingira ,so yawezkana Katika ukuaji wako umelelewa na wazazi ,au mzazi ,ndugu ,au watu tofauti so naamini malezi ya baba na mama ni tofauti na malezi mengine so yaweza athiri Hali yako kama Mimi nimelelewa na ndugu tofauti na wazazi wangu japo ndugu zangu wengine walilelewa na wazazi Kuna vitu naviona kwangu kama vilikosekana Katika malezi yangu so Kuna tabia zimeletwa na hayo malezi ,vile vile kwenye ishu ya mazingira pia ni muhimu kuangalia na zaidi angalia vinasaba kwa kuangalia Katika familia ni wewe tuu mwenye iyo shida ........ aksante
ni kweli mama yangu pia anayo iyo tabia
 
Hellow

Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue .

Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira zikapanda ghafla nikaaza jibu watu ovyo pia najikuta napenda kukaa peke yangu sana sipendi kukaa na watu now days watu wakija kushare idea nachukia kitu hiki kimeendelea mpaka kwenye mahusihano yangu

Lovely aneweza nipigia simu vizuri kabisa ila wakati naongea nae najikuta hasira zinapanda nakata simu au namjibu majibu ya ovyo then nikitulia najutia nashindwa jizuia na hii hali mpaka sasa napenda interactions lakinI ndio hivyo halii inanizidi nguvu how I can overcome this problem 😌
am also going through this
 
Vijana siku hiz wamekua lege lege sana.
Wanaugua magonjwa ya ya kizungu kama kuku wa broiler.
Sasa mtu unaoandwa tu na hasira et huwez kujinganya? Acha uchanganyikiwe ukafie mbali huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom