Wakuu kwema, naombeni ushauri
Mimi nimeajiriwa na kaka yangu kwenye biashara yake hapa ila kitu kinanisumbua akili yangu ni hiki nafanya mauzo ila kwenye mahesabu hela haifiki tena hela kubwa mno halafu situmii hata senti 5, nimekuwa nalipa hii hasara kila siku siendelei
Wakuu nifanyaje au nakosea wapi?
Jichunguze kwenye hesabu zako.Wakuu kwema, naombeni ushauri
Mimi nimeajiriwa na kaka yangu kwenye biashara yake hapa ila kitu kinanisumbua akili yangu ni hiki nafanya mauzo ila kwenye mahesabu hela haifiki tena hela kubwa mno halafu situmii hata senti 5, nimekuwa nalipa hii hasara kila siku siendelei
Wakuu nifanyaje au nakosea wapi?
MmhChukua kipande Cha mkaa weka kwenye droo unayo ifazia izo ela hutakuja kunipa feedback
Uamini fanyeni mtakuja kunipa feedback esabu lazima ziwe sawa
Chuma ulete hyo ndugu wanapita na mzigo mwambie mwenye biashara afanye kazi yake maana sio biashara yako hyo akiweka mambo sawa kila kitu kitakuwa vizur.Wakuu kwema, naombeni ushauri
Mimi nimeajiriwa na kaka yangu kwenye biashara yake hapa ila kitu kinanisumbua akili yangu ni hiki nafanya mauzo ila kwenye mahesabu hela haifiki tena hela kubwa mno halafu situmii hata senti 5, nimekuwa nalipa hii hasara kila siku siendelei.
Wakuu nifanyaje au nakosea wapi?
Chukua kipande cha mkaa weka kwenye droo unayo ifazia izo ela hutakuja kunipa feedback
Sio mkaa pekee hata ndula ndula na mfupa wa ngurume fanya hivo utakuja nishukuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh
Ujawai tumia mbona umeshanga Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh
Uko wapiWakuu kwema, naombeni ushauri.
Mimi nimeajiriwa na kaka yangu kwenye biashara yake hapa ila kitu kinanisumbua akili yangu ni hiki nafanya mauzo ila kwenye mahesabu hela haifiki tena hela kubwa mno halafu situmii hata senti 5, nimekuwa nalipa hii hasara kila siku siendelei.
Wakuu nifanyaje au nakosea wapi?
MereraniUko wapi