Wakuu kwema, naombeni ushauri.
Mimi nimeajiriwa na kaka yangu kwenye biashara yake hapa ila kitu kinanisumbua akili yangu ni hiki nafanya mauzo ila kwenye mahesabu hela haifiki tena hela kubwa mno halafu situmii hata senti 5, nimekuwa nalipa hii hasara kila siku siendelei.
Wakuu nifanyaje au nakosea wapi?