Unamaanisha daladala ifanye kazi 24?hakuna biashara. maana yake unataka masoko na maduka yote pamoja ofisi zote za mjini zifanye 24hrs.maana ukipanda daladala/mwendokasi maana yake unaenda kazini.kazi nyinyi hapa bongo zinafanywa mchana.sasa wewe upeleke mwendo usiku wa manane mjini kweli kuna hao abiria wa hivyo?