Ushauri; Nashindwa kujikubali

Ushauri; Nashindwa kujikubali

Twins love

Senior Member
Joined
Jan 27, 2022
Posts
114
Reaction score
160
Habari zenu, mim ni binti wa miaka 27, jamani mwenzenu nashindwa kabisa kujikubali na kujiamini kutokana na umbo langu na watu wananisema sana, jambo linalonifanya nizidi kujiona sipo vizuri.

Ni mwembamba yaani sina hips hata kidogo, nina mapaja madogo sana, pia nina maziwa makubwa, nilikuwa nikijiona vizuri tu na kujikubali hapo awali lakini kutokana na watu kunisema ovyo, najisikia vibaya mno.

Ilifikia wakati nikawa nasemwa na watu kuwa mimi ni magonjwa wa gonjwa fulani, niliumia sana baada ya kupata habari hizo, lakini sina ugonjwa wa aina yoyoye ile, jambo hili linanifanya nikose ujasiri kabisa.

Nina boyfriend lakini nakosa hata ujasiri wa kuwa nae mara kwa mara hadi kuna muda nawaza nivae nguo za aina gani labda nitaonekana vizuri, kuna muda hadi boyfriend aliniambia kuwa anahitaji ninenepe, wakati sijajiumba mimi.

Nahitaji faraja yenu wana JF, au nivae mavazi gani, au nifanye nini nami niwe na muonekano mzuri na wa kuvutia?

1643891903997.png
 
Jambo kubwa la msingi ni kujikubali,acha tabia ya kujilinganisha na mtu/watu wengine...wewe ni wewe
Unene ama uwembamba sio kilema,ni mambo yanayoweza kubadilika

Halafu kwenye kuwa na maziwa makubwa hapo mbona sio mbaya,mie ni mmoja wa watu wanaopenda kumiliki maziwa makubwa...ni vile tu sijabahatika na nimeamua kujikubali

Rudi kwenye ile spirit yako ya mwanzo ya kujiona vizuri. Usitoe nafasi kwa mtu yoyote kuharibu furaha yako
 
Pole sana ila sioni tatizo hapo ningependa kukushauri achana na kuvaa suruali maana hua zinawachora sana jiamini mwanamke hayo maziwa na wembamba sio ulemavu pia ujue binadamu tupo kuongea hata kama ni vitu visivyo na tija we puuza tu jipende mwenyewe .
 
Jambo kubwa la msingi ni kujikubali
Acha tabia ya kujilinganisha na mtu/watu wengine...wewe ni wewe

Unene ama uwembamba sio kilema,ni mambo yanayoweza kubadilika

Halafu kwenye kuwa na maziwa makubwa hapo mbona sio mbaya,mie ni mmoja wa watu wanaopenda kumiliki maziwa makubwa...ni vile tu sijabahatika na nimeamua kujikubali

Rudi kwenye ile spirit yako ya mwanzo ya kujiona vizuri
Usitoe nafasi kwa mtu yoyote kuharibu furaha yako
Asante
 
boyfriend aliniambia kuwa anahitaji ninenepe , wakati sijajiumba
Sasa hapa umeandika Nini....suala la kunenepa na kukonda linahusiano gani na kuubwa, ndio umeaumbwa mwembamba lakini Mungu kakupa uwezo wa kujinenepesha na kujikondesha....Naona tatizo ni Mindset hapa.
 
Uwezi mfurahisha kila binadamu, ata ukinenepa leo watakusema kesho kwa huo unene. Simama mbele ya kioo jiangalie sema "huyu ndio mimi na hiv ndivyo Mungu aliona nastahiri kuwa, ndio watu watanisema ila huyu ni mimi ni mimi nilie perfect siitaji mtu kunikamilisha tena"
anza kuwaonesha kuwa huyo ni wewe na unafurahia kuumbwa hvyo mwisho wa siku watakuelewa tu.

Usikubari kubadilisha umbo kisa watu wanakusema.

wewe ni mrembo ujapata tu mtu/watu sahihi wa kukuonesha uzuri wako
 
Vaa gauni za kushona za vitenge zile huwa pendezesha watu wa Shep yako, kingine nakupenda sana sometimes nitembelee tupige kitimoto na ugali dona mixer muhogo mbona utanona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mi wanawake ya type yako ndo napenda sana

Kuna kitu inabidi ujue mitandao inadanganya

For 12 years,sijawahi ku date na mwanamke mwenye kilo 55 kwenda juu wote ni vimbaumbau ingawa napenda vimbaumbU vyenye vinavyojua kuvaa.
Mara kibao nimejaribu ku date mabonge si malizi nao ht week 3.Hapa nimelala na mademu wembamba Zaidi ya 16 hata wife hataki kabisa nizoeane na wanawake wembamba km yeye maana anajua nitawatamani.Jiamini binti hata wewe una utamu wako ambao mabonge hawana

Nachotaka kukwambia kila mwanaume ana taste yake.Mi nasisimka sana nikilala na slim woman kuliko bonge haya ukinenepa mi napata wapi mademu wa type zangu..

Hiyohiyo mihogo inAyoitwa chakula cha masikini,uswahili ndo inapendwa balaa
 
Uwezi mfurahisha kila binadamu, ata ukinenepa leo watakusema kesho kwa huo unene. Simama mbele ya kioo jiangalie sema "huyu ndio mimi na hiv ndivyo Mungu aliona nastahiri kuwa, ndio watu watanisema ila huyu ni mimi ni mimi nilie perfect siitaji mtu kunikamilisha tena"
anza kuwaonesha kuwa huyo ni wewe na unafurahia kuumbwa hvyo mwisho wa siku watakuelewa tu.
Usikubari kubadilisha umbo kisa watu wanakusema.
wewe ni mrembo ujapata tu mtu/watu sahihi wa kukuonesha uzuri wako
Asante kwa ushauri
 
Mbona mi wanawake ya type yako ndo napenda sana

Kuna kitu inabidi ujue mitandao inadanganya

For 12 years,sijawahi ku date na mwanamke mwenye kilo 55 kwenda juu wote ni vimbaumbau ingawa napenda vimbaumbU vyenye vinavyojua kuvaa.
Mara kibao nimejaribu ku date mabonge si malizi nao ht week 3.Hapa nimelala na mademu wembamba Zaidi ya 16 hata wife hataki kabisa nizoeane na wanawake wembamba km yeye maana anajua nitawatamani.Jiamini binti hata wewe una utamu wako ambao mabonge hawana

Nachotaka kukwambia kila mwanaume ana taste yake.Mi nasisimka sana nikilala na slim woman kuliko bonge haya ukinenepa mi napata wapi mademu wa type zangu..

Hiyohiyo mihogo inAyoitwa chakula cha masikini,uswahili ndo inapendwa balaa
Nashukuru
 
Habari zenu , mim n binti wa miaka 27, jamani mwenzenu nashindwa kabisa kujikubali na kujiamini kutokana na umbo langu na watu wananisema Sana Jambo linalonifanya nizidi kujiona sipo vizuri.

Ni mwembamba yaani sina hipsi hata kidogo ,nina mapaja madogo Sana ,pia nina maziwa makubwa , nilikuwa nikijiona vizuri tuu na kujikubali hapo awali lakini kutokana na watu kunisema ovyo ,najiskia vibaya mno.

Ilifikia wakati nikawa nasemwa na watu kuwa Mimi ni magonjwa wa gonjwa fulani ,niliumia sana baada ya kupata habari hizo ,lakini sina ugonjwa wa aina yoyoye ile , Jambo hili linanifanya nikose ujasiri kabisa ,.

Nina boyfriend lakini nakosa hata ujasiri wa kuwa nae mala kwa mala hadi kuna muda nawaza nivae nguo za aina gani labda nitaonekana vizur,Kuna muda hadi boyfriend aliniambia kuwa anahitaji ninenepe , wakati sijajiumba Mimi.

Nahitaji faraja yenu wana jf ,au nivae mavazi gani, au nifanye nini nami niwe na muonekano mzuri na wa kuvutia?
Una miaka 27,Una urefu gani,uzito gani,rangi ya ngozi ikoje.Kujikubali kunaanza kwa kujipenda.Uzuri sio sura au umbo hata personality nayo huongeza uzuri.Mimi nina watu ambao ninawafahmu wana mvuto wa kimaumbo ila wana personality za ajabu mpaka wanatisha.
 
ndio mambo yangu hayo...

pole sana but jitahidi kwenye mpangilio wa vyakula
 
Pole mdada sana najua kwa vile sio kicheche ndo maana una mentality hyo wanawake walio na wanaume wengi ndio wanajaikubali sana

Toa hofu sana
 
Back
Top Bottom