Ushauri; Nashindwa kujikubali

Ushauri; Nashindwa kujikubali

Maneno ya watu yasikuumize, mimi nilikua na nyama mashavu maneneee nikasemwa weeee nikaja nikapungua mpaka leo hii ni kimodo nasemwa bado eti nimekonda sipendezi lakini huwa sisikilizi mtu.Jikubali, kula vzuri, vaa vizuri maisha ni matamu usiruhusu kabisa negative thoughts za wengine utateseka.
 
Mbona mi wanawake ya type yako ndo napenda sana

Kuna kitu inabidi ujue mitandao inadanganya

For 12 years,sijawahi ku date na mwanamke mwenye kilo 55 kwenda juu wote ni vimbaumbau ingawa napenda vimbaumbU vyenye vinavyojua kuvaa.
Mara kibao nimejaribu ku date mabonge si malizi nao ht week 3.Hapa nimelala na mademu wembamba Zaidi ya 16 hata wife hataki kabisa nizoeane na wanawake wembamba km yeye maana anajua nitawatamani.Jiamini binti hata wewe una utamu wako ambao mabonge hawana

Nachotaka kukwambia kila mwanaume ana taste yake.Mi nasisimka sana nikilala na slim woman kuliko bonge haya ukinenepa mi napata wapi mademu wa type zangu..

Hiyohiyo mihogo inAyoitwa chakula cha masikini,uswahili ndo inapendwa balaa
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu, mim ni binti wa miaka 27, jamani mwenzenu nashindwa kabisa kujikubali na kujiamini kutokana na umbo langu na watu wananisema sana, jambo linalonifanya nizidi kujiona sipo vizuri.

Ni mwembamba yaani sina hips hata kidogo, nina mapaja madogo sana, pia nina maziwa makubwa, nilikuwa nikijiona vizuri tu na kujikubali hapo awali lakini kutokana na watu kunisema ovyo, najisikia vibaya mno.

Ilifikia wakati nikawa nasemwa na watu kuwa mimi ni magonjwa wa gonjwa fulani, niliumia sana baada ya kupata habari hizo, lakini sina ugonjwa wa aina yoyoye ile, jambo hili linanifanya nikose ujasiri kabisa.

Nina boyfriend lakini nakosa hata ujasiri wa kuwa nae mara kwa mara hadi kuna muda nawaza nivae nguo za aina gani labda nitaonekana vizuri, kuna muda hadi boyfriend aliniambia kuwa anahitaji ninenepe, wakati sijajiumba mimi.

Nahitaji faraja yenu wana JF, au nivae mavazi gani, au nifanye nini nami niwe na muonekano mzuri na wa kuvutia?

Jikubali tu mara nyingi hao wanaosema hivyo na wao ni dhaifu ki akili awajikubali
 
Back
Top Bottom