Ushauri; Nashindwa kujikubali

kama mungu mungu hajakujaalia wowowo ni ngumu mwanamke kujikubali kwa dunia ya leo...wowowo ni muhimu kuliko kila kitu
Kuna watu wanacomment upuuzi tu, what iz wowow, yaan na kuongea kote nilitegemea mtu atacoment vzr kulingana na kilichoulizwa , ila huyu ndy zeroo hahahaha eti tena linakazia mxiuuuuuuuuu
 
Bonge la point jamani waooooooh, thanks
 
Jikubali tu mamy, vle ajionavyo mtu ndvyo alivyo. Ww ndye unayeweza fanya watu wakuone mrembo ama kinyume chake.

Jipende, jikubali ww n mzuri mamaa, me n kembambaaa nlikuwa nateseka mwanzoni lkn sasa hv weeee najiona mrembo na watu wananiona hvyo.

Nilijitahid kuuuuula lkn wap, npo tu kama fmbo ya pooltable but najikubali ww acha tu 🤣🤣🤣🤣. Na pia naavaa kila nguo nayopenda na pia naona napenda nakuvutia pia.
 
Asee kupitia huu ujumbe nagundua you are the best..... Ila umesahau kuwa hakuna kama wewe na kamwe hautakuwa kama wao. Hivyo ujue wewe ni special na wengi tunapenda ulichonacho hasa huo uspecial wako. Jiangalie kwenye kioo halafu fumba jicho moja huku ukitembea kwa madaha halafu simama kisha piga kelele za ushindi kuwa hakuna kama wewe na kisha soma ujumbe huu huku nasi wanajamii forums tukisema kwa sauti moja you are such a beautiful girl.
 
Aiseeh kweli kila mtu na taste yake, sipendi mabonge wasiokuwa na mpangilio ila napenda wanawake wenye nyamanyama na figure zilizoenda shule.
 
Nahitaji faraja yenu wana JF, au nivae mavazi gani, au nifanye nini nami niwe na muonekano mzuri na wa kuvutia?
Tazama hii video👇 zaidi ya mara moja, Kuna jambo la kujifunza
Your browser is not able to display this video.
  • Jikubali na ujipende kwa jinsi ulivyo.
  • Acha kufuatilia na kutilia maanani nini watu wanasema, Rejea Dakika ya 4:43-4:50 kwenye video.
 
Hapo sasa inabidi 'you choose yourself'. Na unajichaguaje? Kwa kutoruhusu any negative eneegy ikuzunguke

Anaekuambia upo hivi mwambie umeridhika na ulivyo na hutamani kuwa vingine then distance yourself.

Hata huyo boyfriend ukiona anazidi kukufanya ujisikie ovyo temana nae. Tumeumbwa kila mtu na mtuwe na ndo maana tupo different shapes and sizes.

Somewhere, there is someone just for you.

Vaa nguo zako zenye kukustiri na kukupendeza, then kula life.
 
nikiongea kwa kingereza italeta msisimko zaidi: Every woman has her own beauty, so anza kujipenda kwanza na wengine watakupenda.

Naaaaaa, there is nothing strong than a woman who respects herself..hiyo iweke akilini na kuifanyia kazi

Mungu alimaliza kila kitu alipokuwa anakutengeneza na akaona ni sawa

jipige kifuani na ujiambie mimi ni mzuri, no matter what people say
 
Wapo wanaopenda wembamba,huyo boy wako sio mtu sahihi kwako,na kuna vibonge wanashinda gym huku wakishinda njaa mpaka wanapata vidonda vya tumbo ili wawe kama wewe,JIKUBALI
 
Wowo sio kigezo Cha mtu kujikubali, bado uko nyuma Sana mkuu, rudi shule yatakushindaa
Unaomba ushauri Tena unatukana washauri ndo maana hujikubali. Ulishaona wapi ushindwe kunikubali ndo nyie mnaokimbilia ma surgery mnaugua Cancer mnakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…