Ushauri; Nashindwa kujikubali

Maneno ya watu yasikuumize, mimi nilikua na nyama mashavu maneneee nikasemwa weeee nikaja nikapungua mpaka leo hii ni kimodo nasemwa bado eti nimekonda sipendezi lakini huwa sisikilizi mtu.Jikubali, kula vzuri, vaa vizuri maisha ni matamu usiruhusu kabisa negative thoughts za wengine utateseka.
 
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jikubali tu mara nyingi hao wanaosema hivyo na wao ni dhaifu ki akili awajikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…