Ushauri: Nataka kufanya lolote kuzuia asiolewe, bado nampenda sana

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
129
Reaction score
263
Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote!

Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya mimi kuwa na kosa.

Niliumia sana maana sikuwahi kupenda before, ni yeye niliyempenda. Nikambembeleza sana lakini wapi. Hali ya kuwa alikula vitu yangu vingi tu, na sikuwahi ku sex nae; alisema no sex before marriage nilikubali. Sasa ni miaka kadhaa imepita nasikia anaolewa, aisee, roho inaniuma sana, sana, sana, sana, maana bado nampenda.

Sasa nataka nifanye kila juhudi na njia nimuharibie kwa kila njia kigiza au nuru asiolewe mana kama ataolewa nitaishi kwa maumivu makali sana.

Naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi.
 
No mkuu.. muache aende.
Utapata mwingine atakae tulia kwako.

Hiyo roho ya kichawi inayokuandama ishindwee na ilegee.
Dada nimeshidwa aisee, naomba Mungu anisamehe, nilimpenda sana mm si mtu wa wanawake hapana, just imagine Toka 2015 sija ingia kwenye mahusiano na mtu mwingine, ndani ya muda mfupi aliniaminisha lakn alipo chang's roho inauma sana
 
Kumuharibia hakuta kupa ahueni yoyote zaidi zaidi kutakuongezea majuto baadae, muache aende utampata mwingine

Kumuacha umpendae aende kwa ampendae nao ni upendo
 
Wee boya kweli, yaani wenzio chuo tulienda na mentaly ya kugegeda demu atleast mmoja from every faculty, wee ukenda na ujinga wa kuoenda demu mmoja na unatumia hela bila kula mbususu. Ujinga wako mwenyewe huo
 
Kumuharibia hakuta kupa ahueni yoyote zaidi zaidi kutakuongezea majuto baadae, muache aende utampata mwingine

Kumuacha umpendae aende kwa ampendae nao ni upendo
Naumia sana sana, hata napo jaribu kuongea nae ananijib kwa dharau, nime shatuma ndugu zangu kuongea japo kwa sm lakn ba
 
Dada nimeshidwa aisee, naomba Mungu anisamehe, nilimpenda sana mm si mtu wa wanawake hapana, just imagine Toka 2015 sija ingia kwenye mahusiano na mtu mwingine, ndani ya muda mfupi aliniaminisha lakn alipo chang's roho inauma sana
Mkuu
Subiri wadaka chozi waje kukuokoa
Inaonekana upwiru umekukaba koo sana
Mpk unakuletea makasiriko unafikia kuwaza kuharibu ndoa tarajiwa ya watu.
 
"Sasa nataka nifanye Kila juhudi na njia ni muharibie kwa Kila njia ki Giza au Nuru asiolewe mana kama ataolewa taishi kwa maumivu Makali Sana"

Una roho ya uharibifu
Sawaa haina shida, unajua kabadir maisha yangu kwa kias kip, nafasi ngap kwa ajiri Yale niliacha whatever the case
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…