Ushauri: Nataka kufanya lolote kuzuia asiolewe, bado nampenda sana

Ushauri: Nataka kufanya lolote kuzuia asiolewe, bado nampenda sana

Unampendaje mwanamke? Visa vingapi umevisoma kuhusu kumpenda mwanamke vikawa na faida kwa mwanaume? Unampa moyo wako mtu ambae hajipendi... mtu ambae hapendi uhalisia wake
 
ushuhuda unafanana karibia kwa wote, ni vile tu sikuwahi peleka mahari wala kufanya sherehe ( or else angezitapika )

nashukuru Mungu kwa hilo, pesa ya mahari nikadaka ka-plot huku Pwani fasta, nikashusha ka-jengo
 
Me maskini tu, I was spend 300000 kwa Kila boom langu
Kwanini ulikuwa haupigi punyeto? Unaharibu pesa kizembe majuto ni mjukuu wasomi uchwara kama nyie ni hatari Sana


Ata kama angekuwepo hai Dr kairuki sidhani Kama angekitibu kidonda chako
 
2015 mpaka leo 2023 bado unajiuguza tu mkuu?
Achana na huyo ke najua inakuuma kwa sababu uligaramia na hukupewa utelezi.
 
Kuna video niliona jamaa ka propose mdada kakataa jamaa akamvua viatu na wigi akaondokoa navyo ๐Ÿ˜‚

Acheni kutumia watu this is for both sexes, vitu na miili ya watu iacheni.

If you're not ready for marriage any time soon just stay single!!!!!

la sivyo unajitafutia hasara na maumivu
 
Ndio maana kipindi nasoma nilikuwa nawapiga paipu tu(wameukalia sana) no strings...
 
Tatizo kuwa na boyfriend/girlfriend ni fashion/entertainment siku hizi. People are not serious
 
ushuhuda unafanana karibia kwa wote, ni vile tu sikuwahi peleka mahari wala kufanya sherehe ( or else angezitapika )

nashukuru Mungu kwa hilo, pesa ya mahari nikadaka ka-plot huku Pwani fasta, nikashusha ka-jengo
Alikupiga pigo takatifu chairman mpaka wanawake unawaona sio, sipati picha alifanya nn lakn nahis mtu kuliwa inahusika.. yote kwa yote kuna siku utanasa tu na utastaafu cheo chako mkuu ๐Ÿ˜, hayana formula
 
Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote!

Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya mimi kuwa na kosa.

Niliumia sana maana sikuwahi kupenda before, ni yeye niliyempenda. Nikambembeleza sana lakini wapi. Hali ya kuwa alikula vitu yangu vingi tu, na sikuwahi ku sex nae; alisema no sex before marriage nilikubali. Sasa ni miaka kadhaa imepita nasikia anaolewa, aisee, roho inaniuma sana, sana, sana, sana, maana bado nampenda.

Sasa nataka nifanye kila juhudi na njia nimuharibie kwa kila njia kigiza au nuru asiolewe mana kama ataolewa nitaishi kwa maumivu makali sana.

Naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi.
Mlikuwa kwenye mahusianao na yet hukula tunda??
May be nahitaji tafsiri mpya ya mahusiano
 
Back
Top Bottom