Ushauri: Nataka kufanya lolote kuzuia asiolewe, bado nampenda sana

Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote!

Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya mimi kuwa na kosa.

Niliumia sana maana sikuwahi kupenda before, ni yeye niliyempenda. Nikambembeleza sana lakini wapi. Hali ya kuwa alikula vitu yangu vingi tu, na sikuwahi ku sex nae; alisema no sex before marriage nilikubali. Sasa ni miaka kadhaa imepita nasikia anaolewa, aisee, roho inaniuma sana, sana, sana, sana, maana bado nampenda.

Sasa nataka nifanye kila juhudi na njia nimuharibie kwa kila njia kigiza au nuru asiolewe mana kama ataolewa nitaishi kwa maumivu makali sana.

Naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi.
Nakushauri mwache tu aende zake maana akija kugundua wewe ndo umesababisha asiolewe anaweza akakuchukia maisha yake yote na utakua umetengeneza visasi visivyoisha
 
Usijizibie rizki kwa kuendelea kumlilia
Muombee apate furaha na upendo
Then live ur life
 
Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote!

Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya mimi kuwa na kosa.

Niliumia sana maana sikuwahi kupenda before, ni yeye niliyempenda. Nikambembeleza sana lakini wapi. Hali ya kuwa alikula vitu yangu vingi tu, na sikuwahi ku sex nae; alisema no sex before marriage nilikubali. Sasa ni miaka kadhaa imepita nasikia anaolewa, aisee, roho inaniuma sana, sana, sana, sana, maana bado nampenda.

Sasa nataka nifanye kila juhudi na njia nimuharibie kwa kila njia kigiza au nuru asiolewe mana kama ataolewa nitaishi kwa maumivu makali sana.

Naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi.
Face the reality,Amekuacha kubali,
Kubali umeumia,kubali ulikua mjinga that time ila believe nachokwambia maumivu yako hayatenda bure.Atayalipa jipe Moyo.Utapata anayekufaa
 
Dada nimeshidwa aisee, naomba Mungu anisamehe, nilimpenda sana mm si mtu wa wanawake hapana, just imagine Toka 2015 sija ingia kwenye mahusiano na mtu mwingine, ndani ya muda mfupi aliniaminisha lakn alipo chang's roho inauma sana
Acha uboya dogo, kwani mama Yako huyo mpaka umng'ang'anie hivyo? Yaani toka 2015 haujawa na mahusiano Kwa sababu "unampenda" asiyekupenda? Khaaaa.....
 
Mimi akili yangu ishakuwa programmed, ukinijia ndivyo sivyo huo upwiru unakata naturally yani KHA kama circuit breaker halafu naanza kukuona kama demu mwenye ndevu. So upwiru kwangu sio issue kabisa
 
😀😀😀😀😀
 
Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote!

Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya mimi kuwa na kosa.

Niliumia sana maana sikuwahi kupenda before, ni yeye niliyempenda. Nikambembeleza sana lakini wapi. Hali ya kuwa alikula vitu yangu vingi tu, na sikuwahi ku sex nae; alisema no sex before marriage nilikubali. Sasa ni miaka kadhaa imepita nasikia anaolewa, aisee, roho inaniuma sana, sana, sana, sana, maana bado nampenda.

Sasa nataka nifanye kila juhudi na njia nimuharibie kwa kila njia kigiza au nuru asiolewe mana kama ataolewa nitaishi kwa maumivu makali sana.

Naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi.
Ticha umefeli sana na wewe. Miezi sita yote hujala mzigo? Ulikuwa unachonga mzinga, sasa kuna jamaa ndio anaenda kula asali
 
Wee boya kweli, yaani wenzio chuo tulienda na mentaly ya kugegeda demu atleast mmoja from every faculty, wee ukenda na ujinga wa kuoenda demu mmoja na unatumia hela bila kula mbususu. Ujinga wako mwenyewe huo
Huwezi kumlaumu kwa hili, kuna watu walifundishwa maadili yakashikika nakumfanya ayaharibu nimpaka umloge au uumpe pombe. Haki nakwambia kunamtu anashika maadili mpaka unasema huyu sibinadamu mwenzetu ila tatizo wanaume tunafikiri kuwa wote haja za ngono hatuwezi kuzicontrol. Hilo nakupinga mara 100! Kuna mtu anaamini kuhusu ndoa takatifu na mke mmoja tu pasipokuchezeana miili ila najua kwahakika hutaamini ili, ila wanaume tunatofautiana sana usikariri.
 
Sasa kuna lipi hapo la ajabu nishindwe kuamini?
Mie mwenyewe naweza kwenda miaka miwili bila kugegeda wala kupiga puchu ...so ninuamuzi tuu wa mtu.
 
[emoji23][emoji23] maamuzi umeweza kuyafanya sasaivi baada ya kujua mbivu na mbichi ila sio chuoni maana huko akili za vijana wengi zilikuwa zinataka kuexplore kila aina ya starehe. Ndio maana ukamuita jamaa boya, wote tumepita chuo yanajulikana.
 
Ah wee sasa yeye tatizo alipenda kabisa wakati chuo nyege nyingi unataka kusaka mbususu tofauti ugegede kuondoa stress
 
Nikambembeleza sana lakini wapi. Hali ya kuwa alikula vitu yangu vingi tu, na sikuwahi ku sex nae; alisema no sex before marriage nilikubali.
Hapa ndio alikuoa POYOYO, una miaka mingapi unakubali hili sharti 😡😡😡😡
 
Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote!

Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya mimi kuwa na kosa.

Niliumia sana maana sikuwahi kupenda before, ni yeye niliyempenda. Nikambembeleza sana lakini wapi. Hali ya kuwa alikula vitu yangu vingi tu, na sikuwahi ku sex nae; alisema no sex before marriage nilikubali. Sasa ni miaka kadhaa imepita nasikia anaolewa, aisee, roho inaniuma sana, sana, sana, sana, maana bado nampenda.

Sasa nataka nifanye kila juhudi na njia nimuharibie kwa kila njia kigiza au nuru asiolewe mana kama ataolewa nitaishi kwa maumivu makali sana.

Naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi.
Haitakusaidia chochote, let her go. Angekua anakupenda asingeolewa na mwingine

Unaweza ukamuharibia na wewe mambo yako yakaharibika moja kwa moja, when you wish others well, good things will come to you

Njia pekee ya kuonyesha unampenda ni kukubali awe na furaha, na kama amepata furaha yake mwache aolewe, utampata unaempenda na atakaekupenda

Be a man
 
Mkuu mwache aolewe japo inauma sana ila mwache aende..iambie nafsi yako ikubali aende zake na uruhusu nafsi ipende mwingine.. hata mm nilipigwa na kitu kizito sana na nilivurugika sana kisaikolojia na kiuchumi pia ilinifika nikawa nawachukia sana wanawake mpaka wengine wakawa wananiukiza kaka ulishapenda ukatendwa nikawa nawajibu mwanaume hapendi anatamani, wakawa wananishauri nisiwachukie cz wanatofautiana nikakaza moyo sana ,nafsi na akili huku nikimwomba Mungu anipe kuvumilia na kuniondolea chuki juu ya wanawake kisa nimetendwa but sasa maomivu yamepona kabisa na nahitaji kua na mke...Mungu yupo mwachie yeye amini utakaa sawa mwache aolewe tuu wewe utampata wako

Nb; tokea ameniacha maendeleo yangu yamekua makubwa sana baadae tena kiuchumi na kiafya kuliko nilivyo kua nae na sasa nipo natafuta mke mwema naamini nitapata ajapo umri wangu umeenda sana
 
Back
Top Bottom