Ushauri: Nataka kufanya lolote kuzuia asiolewe, bado nampenda sana

Niliumia sana maana sikuwahi kupenda before, ni yeye niliyempenda. Nikambembeleza sana lakini wapi. Hali ya kuwa alikula vitu yangu vingi tu, na sikuwahi ku sex nae; alisema no sex before marriage nilikubali. Sasa ni miaka kadhaa imepita nasikia anaolewa, aisee, roho inaniuma sana, sana, sana, sana, maana bado nampenda.
"KATAA NDOA KWA AFYA YA MWILI NA AKILI "
 
Alikupiga pigo takatifu chairman
hahaha, hapana, ila kuna vitu niliona haviko sawa, mchango wake na wangu ni mbingu na bahari, hana chochote cha ku offer zaidi ya sex, kutumia kigezo cha sex kufyonza rasilimali zangu

kutumia maneno kama nihudumie, mara mta kula kwa jasho huku yeye anachochangia ni uchi pekee, huo ni wizi, ujambazi, unyonyaji na ni utapeli kwa kupigwa vita kali, achilia mbali ufesmisti baridi

yote kwa yote kuna siku utanasa t
hapana siwezi nasa, siwi fooled na sex, not wakati najua nguvu ya BabyCare 😬
 
Na Karne hii kuna watu bado mnafall in love 😀😀 yenyewe hii dunia n kubwa
 
Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote!

Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya mimi kuwa na kosa.

Niliumia sana maana sikuwahi kupenda before, ni yeye niliyempenda. Nikambembeleza sana lakini wapi. Hali ya kuwa alikula vitu yangu vingi tu, na sikuwahi ku sex nae; alisema no sex before marriage nilikubali. Sasa ni miaka kadhaa imepita nasikia anaolewa, aisee, roho inaniuma sana, sana, sana, sana, maana bado nampenda.

Sasa nataka nifanye kila juhudi na njia nimuharibie kwa kila njia kigiza au nuru asiolewe mana kama ataolewa nitaishi kwa maumivu makali sana.

Naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi.
Wewe ni binaadam wa aina gani? Mtu kakutema toka 2015 bado hujatafuta maisha mengine?

Huwezi kuzuwia rizki, kama kapangiwa kuolewa ataolewa tu, utamaliza uchawi.

Nnaamini huyo binti alikustukia mapema sana kuwa hufai kuwa mume ndiyo maana akakupiga chini. Nampa heko.

Ni wazi kabisa kwa mwanamme mwenye mawazo hayo yako, haufai kuwa mume wa yeyote.
 
hahaha, hapana, ila kuna vitu niliona haviko sawa, mchango wake na wangu ni mbingu na bahari, hana chochote cha ku offer zaidi ya sex, kutumia kigezo cha sex kufyonza rasilimali zangu

kutumia maneno kama nihudumie, mara mta kula kwa jasho huku yeye anachochangia ni uchi pekee, huo ni wizi, ujambazi, unyonyaji na ni utapeli kwa kupigwa vita kali, achilia mbali ufesmisti baridi

hapana siwezi nasa, siwi fooled na sex, not wakati najua nguvu ya BabyCare 😬
😀😀😀😀😀😀 If idumu milele
 
mapenzi yangu Yana shombo

niliwahi kuwa kwenye mahusiano ambayo sijui Yana husiana na nini..

zilepesaaa..nilihonga zaniniiiiiii?mawigiiii nilinunua yaniniiiiiiiii eeee..ee

hajaacha pengoo mwambieee asiwazeee asiwazeee asiwazeee asiwazee

twendeee twendeee

sema Nini mwanangu huyo demu sijui ana uzuri gani Hadi akashindwa kumsahau.
 
Me nikajua labda ulishakula mzigo na video ulirecord so unataka kuachia connection ili uvuruge mipango yote! We acha tu manzi aolewe huwezi kuvuruga hiyo mipango uwezo huo huna mzee relax tulia utapata mwanamke mwingine tu
 
Sasa ukizuia asiolewe unataka uolewe wewe au? Demu hakutaki hata ukifanyaje hakutaki,haya ndio madhara ya kujidai una mapenzi ya njiwa.Acha utoto muache aendelee na maisha yake tafuta anaekufaa kula mbususu ukiona inafaa oa,ila ukipata mwingine acha ujinga wa kujidai una roho nzuri sana unajua kutoa sana akitaka vyako fanya mpango wa nipe nikupe,hivyo ndio huwa tunaishi kiume.
 
Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote!

Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya mimi kuwa na kosa.

Niliumia sana maana sikuwahi kupenda before, ni yeye niliyempenda. Nikambembeleza sana lakini wapi. Hali ya kuwa alikula vitu yangu vingi tu, na sikuwahi ku sex nae; alisema no sex before marriage nilikubali. Sasa ni miaka kadhaa imepita nasikia anaolewa, aisee, roho inaniuma sana, sana, sana, sana, maana bado nampenda.

Sasa nataka nifanye kila juhudi na njia nimuharibie kwa kila njia kigiza au nuru asiolewe mana kama ataolewa nitaishi kwa maumivu makali sana.

Naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi.
Let her go....utapata mwingine wa kukufaa.

Acha kung'anga'nia matatizo wewe kijana, pambana kutafuta maisha mengine yatakuja tu.
 
Back
Top Bottom