Ushauri: Nataka kufanya lolote kuzuia asiolewe, bado nampenda sana

No mwache aolewe halafu endelea naye....
 
Pole sana, fanya mambo mengine, mambo yake muachie mwenyewe...
 
Mwanafunzi hebu endelea kusoma na kukua.
 
Hahaha hio kukubali no sex before marriagw ndo ilikuponza

Pole sna ila utoto mpunguze
 
Nawahurumia sana ndugu zako

Mana ni hatari sana kuwa na ndugu kichwa maji
 
Mara ya mwisho kuumizwa na mapenzi ilikuwa mwaka 2018 sasa hivi mimi ndio nawaumiza wao wakuu tutafute pesa hakuna dagaa nyama
 
kama Yule nilimpenda vile na nilimuacha aende sijui kama naweza kuwa goigoi tena.

Be Gentleman Br.
 
Nyege tu zinakusumbua izo mbuzi we
 
Tatizo la udomo zege
 
Ukiachwa achika kuendelea kumfuatilia ex ni kujpa jaka moyo
 
Mkuu naomba nikuulize swali, una hela? Ninaamini huna na ndo maana akaona kwako hakuna Cha kumvuta. Pambana na maisha mzee ukiwa na hela hakuna mwanamke wa kukukataa!!
 
Maisha yana vitu vingi sana....

Sometimes unajikuta fani uliyoipenda na kuisomea...Siyo fani inayokuingizia kipato! Wala kukupa maisha kabisaa!!...

Unajikuta na maisha mengine mazuri tu na ya furaha/amani......kwa fani/ Kazi ambayo hukuwahi kuiwazia wala kuitarajia! Wengi yamewatokea haya....

Na kwenye mapenzi pia the same formula hii hii inaapply mzee!

Nadhani ni vyema ukimwacha aende..utapona maumivu na kusahau kabisa.... ingawa itachukua muda....

Utarudi katika maisha ya kawaida kabisa mzee...

Mimi nilishapenda kaka! Na nikasahau kabisa! Na maisha yakaendelea.....now imebaki kama movie tu....

Hiyo story Yako nilinganishe na yangu....nahisi baado saana! Ikasome!....

Dedicated song....kutuliza jeraha...

Mo music .....Basi nenda.
P-Square.....Miss U Die!

Enjoy the moment......hawa wadudu wapo tuu!

Tena vinandaa! Zaidi ya micharazo ya gitaa la Carlos Santana!
 
Blaza,Jaribu kilimo cha matikitiki na nyanya..kitakusaidia kukupunguzia hizo stress
 
Mwane2 unaishi dunia gni yni vyko vina liwa ili vyake ataki uvile miaka3 ulikuwa unapiga nyeto sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…