Ushauri: Nataka kuoa mke kwa bajeti ya Tsh. Milioni 1

Ushauri: Nataka kuoa mke kwa bajeti ya Tsh. Milioni 1

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,541
Reaction score
2,487
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27, mkazi wa jijini Dar es salaam.

Nimepanga na nina kazi. Moja ya malengo yangu nikuwa ikifika mwisho mwa mwaka huu niwe tayari na mke au mtu nimemweka ndani. Sasa kutokana na ubize wa kazi zangu na aina ya mwanamke ninaye muhitaji naona kama nitafail ndani ya muda huu.

Therefore na plan niende either Tanga au Singida kutafuta binti mdogo niweze ishi anae ila katika mikoa hiyo husika sina mwenyeji hivyo nimeandaa bajeti ya milion moja kwa ajili ya kufanya hilo jambo langu. Je, nitafanikiwa au nipeni miongozo ili vijana tuache kukaa wapweke.
 
kwamba kuoa ndo rahisi kiasi hicho mkuu hiyo ya haraka haraka hivyo nakushauri rudi kwenu ongea na wazee watakupointia ila hivyo ya kupanga na bajeti kwa style hiyo labda kama unatafuta short time it's ok maana ndoa ni chemistry element zisipo match lazima shida itakuepo
 
Back
Top Bottom