princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Kwanini Tanga na singida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuwaza ujinga, pambania ndoto zakp then furahia matunda ya kazi yako. Kuoa ni kujiongezea matatizo.Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27, mkazi wa jijini Dar es salaam.
Nimepanga na nina kazi. Moja ya malengo yangu nikuwa ikifika mwisho mwa mwaka huu niwe tayari na mke au mtu nimemweka ndani. Sasa kutokana na ubize wa kazi zangu na aina ya mwanamke ninaye muhitaji naona kama nitafail ndani ya muda huu.
Therefore na plan niende either Tanga au Singida kutafuta binti mdogo niweze ishi anae ila katika mikoa hiyo husika sina mwenyeji hivyo nimeandaa bajeti ya milion moja kwa ajili ya kufanya hilo jambo langu. Je, nitafanikiwa au nipeni miongozo ili vijana tuache kukaa wapweke.
Poa endelea.Hayo pia ni maendeleo