Ushauri: Nataka kuoa mke kwa bajeti ya Tsh. Milioni 1

kubwa hiyo kaoe
 
Hiyo hela ni kubwa sana sheikh wangu mana hata ukioa kwa milion 10 bado haibadilishi chochote

Nenda mtwara kule mahari unapata hadi laki 2 unafunga ndoa simple tu.

Alafu asikuambie mtu kitu ,Ndoa simple ina baraka sana mana husda sio nyingi
 
Team kataa ndoa njoen tumuokoe kijana mwenzetu huku...anaenda kombo๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ
 
Nunua kiwanja jenga apartment ndogo kila mwezi utavuta laki tatu,ukiwa na hiyo guest ya kulipa kwa mwezi,miezi mitatu mitatu weka malimbikizo ulipe kiwanja kwa awamu,ukimaliza anza kufyatua tofali za kuuza kiwanjani kwako,anza kujenga nyumba yako,kuanza maisha kwa kupanga DSM ni utumwa,ni pepo.
 
Upo nje ya mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ