Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,300
Bwana mdogo linapofika swala la kuoa tunaoa character na si umbo. Hujawahi ona ya kuwa wanawake wenye sura nzuri wanakosa kuolewa? Na vile wenye sura za kawaida tu ndo wengi wao wameolewa?Wakuu habari za Weekend.
Mimi ni kijana na nimefikia umri wa kuoa sasa, ila changamoto ni kutaka kumuoa msichana ambae hayumo katika hisia zangu ila sabubu ya yeye ana tabia
Atamuoa hlf dada wa watu ateseke kwa kutopendwa, aachane nae akatafute mwenye sura nzuriUtu wa mtu ni muhimu sana kuliko muonekano wa nje.
Oa huyo mkuu. Huyo ndo mke wako sasa.
Na usipomuoa utakutana na kurumbembe moja litakalokufanyia utajua maisha yako yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atamuoa hlf dada wa watu ateseke kwa kutopendwa, aachane nae akatafute mwenye sura nzuri
Bwana mdogo linapofika swala la kuoa tunaoa character na si umbo. Hujawahi ona ya kuwa wanawake wenye sura nzuri wanakosa kuolewa? Na vile wenye sura za kawaida tu ndo wengi wao wameolewa?
Utu wa mtu ni muhimu sana kuliko muonekano wa nje.
Oa huyo mkuu. Huyo ndo mke wako sasa.
Na usipomuoa utakutana na kurumbembe moja litakalokufanyia utajua maisha yako yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikuulize,
1. Hakuna wasichana wazuri wenye character nzuri?
2. Je kila msichana mmbaya ana character nzuri?
Asante kama nitajibiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari nimeshaona hio mkuuBwana mdogo linapofika swala la kuoa tunaoa character na si umbo. Hujawahi ona ya kuwa wanawake wenye sura nzuri wanakosa kuolewa? Na vile wenye sura za kawaida tu ndo wengi wao wameolewa?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji125][emoji125]Mimi nina shape nina sura nzuri.
Sijaolewa hadi leo.
Njoo unioe mkuu achana na huyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sanaUtu wa mtu ni muhimu sana kuliko muonekano wa nje.
Oa huyo mkuu. Huyo ndo mke wako sasa.
Na usipomuoa utakutana na kurumbembe moja litakalokufanyia utajua maisha yako yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimuoe kama hayuko kwenye hisia zako kwa sababu ukipata alie kwenye hisia zako utamtesa mwanamke wa watu.
Kama unaona hakufai muache apate atakaempenda bila kuangalia mengine Bali upendo alio nao juu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Wapo wasichana wazuri na wenye character nzur tu.Naomba nikuulize,
1. Hakuna wasichana wazuri wenye character nzuri?
2. Je kila msichana mmbaya ana character nzuri?
Asante kama nitajibiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Wapo wasichana wazuri na wenye character nzur tu.
2. Sio kwel km kila mbya ana character mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
We mdada nimekumiss mnooo .... huonekani mara kwa mara humu jukwaani aisee .... naamini upo salama