Ushauri: Nataka Kusoma LLB

Mponjoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
668
Reaction score
158
Habari zenu wadau. Mimi ni mtumishi katika sekta binafsi, katika moja ya taaluma. Ningependa kusoma LLB huku nikiendelea na kazi ninayoifanya. Mfumo wa OPEN UNIVERSITY utanifaa? Ubora wa LLB ya OPEN ukoje? Naweza kupata chuo kingine nchini ambacho naweza kusoma kwa distance learning?
 
Wazo zuri mkuu. Kwa hapa nchini chuo cha masafa usome LLB hakuna. Ila unaweza kupata chuo ukasoma masomo ya jioni. Hata hivyo hongera kwa hatua hiyo mkuu.
 
open university inatambulika na TCU ni sawa tu na vyuo vingine, pia tunao mawakili wa kujitegemea wengi sana hata wengine wanafanya serikalini wamemaliza degree ya sheria open university. ila utakapoanza kusoma sheria, usisahau kununua kitabu hiki hapa ili kikusaidie kwneye baadhi ya sheria, utakipata kwenye SHERIA KWA KISWAHILI

View attachment 117072
 
LLB haina soko tz,kumbuka kila kampuni ina ajiri mtu m1 tu!!! Labda uende kwa Mkono akuajiri lakini lazima uwe kipanga na si wa OUT.
 
LLB haina soko tz,kumbuka kila kampuni ina ajiri mtu m1 tu!!! Labda uende kwa Mkono akuajiri lakini lazima uwe kipanga na si wa OUT.
LLB ina soko sana ndugu, ila inahitaji watu wenye akili za kutosha, akili ya kuelewa na kupambanua mambo na kutetea hoja. hii itakufanya ufanye kazi hadi utakapofariki ukiwa mzee kabisa, kwasababu hata ukistaafu bado utaendelea kufanya sheria kwenye law firm yako popote pale tz tena ukijicontrol mwenyewe bila kuwa chini ya mtu. the more unavyozidi kupractice shere, the more unavyopata uzoefu ivyo utakuja kujikuta kazi ya hela nyingi unafanya kwa muda kidogo sana.

kama wewe ni mzembe, umefaulu kwa kukariri shuleni sio kuelewa, mtu wa kubebwa tu, akili yako imekalia kuajiriwa tu tangu ulivyoanza darasa la kwanza, HAUNA NAFASI KUWA MWANASHERIA, kwasababu hautatengeneza hela, utakuwa unashindwa kesi kila siku. sheria inahitaji watu waelewa sana, kuhusu kuwa na soko, kama mtu unajiamini, hauwezi kutegemea kuajiriwa, wengi wa wanasheria ninaowafahamu hawataki kuajiriwa, wengi wameacha kazi za kuajiriwa na wanajiunga kwenye vikundi. uchumi wa nchi zetu unazidi kuendelea, wananchi wengi wanapata pesa na wanaajiri sana wanasheria. ukitaka kujua hilo nenda mahakamani utaona how busy lawyers are kwenye diary zao kila siku wana kesi na kila kesi inagarimu hela nyingi sana. ila kama mtu mzubaifu, sheria usiingia kabisa.
 
Wazo zuri mkuu. Kwa hapa nchini chuo cha masafa usome LLB hakuna. Ila unaweza kupata chuo ukasoma masomo ya jioni. Hata hivyo hongera kwa hatua hiyo mkuu.
Open hawasomi LLB kwa masafa? Nipe ufafanuzi zaidi mkuu. Asante kwa kunitia moyo.
 
 
LLB ni somo zuri ndugu lakin inatakiwa utulize hakiri kweli ndugu mana c unajua open hakuna madarasa kaka.....otherwise wazo zuri mkuu
 

LL.B not LLB
 
Kong kong naomba nikucritcise....open university inatoa product za sheria za ukwel.....kama hauamin find out else where.kwa huyo anaesoma llb njoo open university for grand results.
 
Wazo zuri mkuu. Kwa hapa nchini chuo cha masafa usome LLB hakuna. Ila unaweza kupata chuo ukasoma masomo ya jioni. Hata hivyo hongera kwa hatua hiyo mkuu.

usidanganye umma mkuu. OUT wanatoa na watu wanaiva vizuri tu.
 
Good idea. Anza sasa, achana na hao wenye negative thinking kuhusu competency ya OUT. Ni kati ya vyuo vinavyoheshimika sana, hakuna ubabaishaji kama vyuo vyao. Go go go go, time is too short. GO
 
Nenda out kaka ila u have to dedicate ur life into LLB.mm nasoma pale na namaliza ila elimu ya open inabid kukomaaaa
 
Jamani mliopo Law school au mliopitia pale mtupe updates kuhusu shule ya pale ilivyo,idadi ya kozi,muda na mkopo kwa wanafunzi wa shule ya sheria
 
LLB haina soko tz,kumbuka kila kampuni ina ajiri mtu m1 tu!!! Labda uende kwa Mkono akuajiri lakini lazima uwe kipanga na si wa OUT.

Unachokisema ni kweli lakini si sahihi. Kitendo cha makapmuni kupuuza wanasheria ndicho kinafanya labour case (disputes) kuongezeka maradufu.

Nenda labour court uone kesi za ajira zilivyo na misururu siku hizi ndipo ujue uzito wa tatizo hili.
 
LL.B pale Open University ni miaka mingapi? Maana pale UDSM najua ni miaka minne. Ukichanganya na Law School ni miaka mitano.

Niliwahi kusimuliwa kwamba pale OUT ni speed yako kumaliza na eti unaweza kuisoma ndani ya miaka mitatu kama uko brilliant. je, kuna ukweli hapa.

I just wanna confirm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…