mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naipenda San Crown, Shida ni unywaji wake wa mafuta sio Rafiki Kws sisi wenye hela ya kuunga ungaCrown ina stability kushinda brevis pia ni comfortable kuliko brevis...athletes ni gari ngumu kuanzia body,spare na chassis yake.
Brevis ikifika kwenye speed 140-160 haitulii barabarani na kama utapishana na bus ujuwe utatoka kwenye mstari tofauti na crown hata upige 180 bado gari inakuwa imetulia kabisa bila kuyumba,kama upo Dar utaona gari ambazo zinatamba ni crown hata bei yake imechangamka kushinda brevis ndio maana leo kama una brevis na crown utakayouza kwa haraka itakuwa crown
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo jamaa alizidi aseeMkuu leo umejitahidi sana naona hujaitaja carina mpk sasa hivi ,hahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachokukubali mkuu upo cool sana hunaga shida [emoji122][emoji122][emoji122]Hahahahaaaaaa haya mkuu tupo pamoja
Ulaji wa brevis na altezza uko vipi mkuu?Brevis gunia la misumari ilo litakuchana mgongo mkuu foleni za dar kila sheli utaacha namba [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787]inaelekea unashinda humu kufuatilia kila member anamiliki gari la aina gani....tupia basi mnyama wako hapa tumuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachukia sana mnapoeneza huu uongo, hivi mnafaidika nini, muacheni mnyama apumue hata kidogo, khaa, kila saa Brevis Brevis, Brevis Brevis, hakauki midomoni mwenu, tuacheni bhana..Crown ina stability kushinda brevis pia ni comfortable kuliko brevis...athletes ni gari ngumu kuanzia body,spare na chassis yake.
Brevis ikifika kwenye speed 140-160 haitulii barabarani na kama utapishana na bus ujuwe utatoka kwenye mstari tofauti na crown hata upige 180 bado gari inakuwa imetulia kabisa bila kuyumba,kama upo Dar utaona gari ambazo zinatamba ni crown hata bei yake imechangamka kushinda brevis ndio maana leo kama una brevis na crown utakayouza kwa haraka itakuwa crown
🤣🤣🤣🤣🤣 baharia amesahau kuitaja farasi yake! Hii tabia anayo jamaa mmoja wakuitwa "Scotty Kilmer" hapo mjini youtube. Yeye ana garage yake nyumbani na hutoa ushauri juu ya gari ipi ya kununua na ipi si ya kununua ila baada ya yote lazma aseme gari bora ni Toyota Celica ya 1994 maana ndio anayotembelea. Amezoeleka hivyo yani 🤣🤣🤣Mkuu leo umejitahidi sana naona hujaitaja carina mpk sasa hivi ,hahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyamakazi🤣Nachukia sana mnapoeneza huu uongo, hivi mnafaidika nini, muacheni mnyama apumue hata kidogo, khaa, kila saa Brevis Brevis, Brevis Brevis, hakauki midomoni mwenu, tuacheni bhana..
Jaza full tank,mshale uwe kwenye mswaki mda wote. Ukishuka kidogo unajazia na wese lako la 10000.Naipenda San Crown, Shida ni unywaji wake wa mafuta sio Rafiki Kws sisi wenye hela ya kuunga unga
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baharia amesahau kuitaja farasi yake! Hii tabia anayo jamaa mmoja wakuitwa "Scotty Kilmer" hapo mjini youtube. Yeye ana garage yake nyumbani na hutoa ushauri juu ya gari ipi ya kununua na ipi si ya kununua ila baada ya yote lazma aseme gari bora ni Toyota Celica ya 1994 maana ndio anayotembelea. Amezoeleka hivyo yani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahah "Rev up your engines" 🤣🤣🤣 anakwambia Toyotas are reliable don't buy GM Crap!Hahah namsoma sana yule babu,ile celica yake full kuisifia,wenye benz&bmw wanamchukia yule babu hahah yule ni full kuponda tu hahah.
kuna jamaa mwingine huko youtube anaitwa chris fix nae yuko fit kwny sekta hio ukipata muda mcheki.
Hahahah "Rev up your engines" [emoji1787][emoji1787][emoji1787] anakwambia Toyotas are reliable don't buy GM Crap!
Chrisfix kama nampata sema sijamzingatia sana. Wacha nimcheki nae.
Yeah tuko wengi, mi huwa nafuatilia sana clip zake.Hahah mzee mtata sana yule, sometimes naenjoy sana nikigundua kuna ma car enthusiast wenzangu humu.
Nampata jamaa, ana Celica yake hio ndio gari bora kuliko zote! Nasubiri nione intro akitoka kwenye engine bay🤣🤣🤣🤣🤣 baharia amesahau kuitaja farasi yake! Hii tabia anayo jamaa mmoja wakuitwa "Scotty Kilmer" hapo mjini youtube. Yeye ana garage yake nyumbani na hutoa ushauri juu ya gari ipi ya kununua na ipi si ya kununua ila baada ya yote lazma aseme gari bora ni Toyota Celica ya 1994 maana ndio anayotembelea. Amezoeleka hivyo yani 🤣🤣🤣
"Dont forget to ring that Bell oh"🤣🤣🤣Nampata jamaa, ana Celica yake hio ndio gari bora kuliko zote! Nasubiri nione intro akitoka kwenye engine bay