USHAURI: Nataka kuuza Toyota Altezza ninunue Toyota Brevis

USHAURI: Nataka kuuza Toyota Altezza ninunue Toyota Brevis

Crown ina stability kushinda brevis pia ni comfortable kuliko brevis...athletes ni gari ngumu kuanzia body,spare na chassis yake.

Brevis ikifika kwenye speed 140-160 haitulii barabarani na kama utapishana na bus ujuwe utatoka kwenye mstari tofauti na crown hata upige 180 bado gari inakuwa imetulia kabisa bila kuyumba,kama upo Dar utaona gari ambazo zinatamba ni crown hata bei yake imechangamka kushinda brevis ndio maana leo kama una brevis na crown utakayouza kwa haraka itakuwa crown
Naipenda San Crown, Shida ni unywaji wake wa mafuta sio Rafiki Kws sisi wenye hela ya kuunga unga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nachukia sana mnapoeneza huu uongo, hivi mnafaidika nini, muacheni mnyama apumue hata kidogo, khaa, kila saa Brevis Brevis, Brevis Brevis, hakauki midomoni mwenu, tuacheni bhana..
 
Mkuu leo umejitahidi sana naona hujaitaja carina mpk sasa hivi ,hahah

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣 baharia amesahau kuitaja farasi yake! Hii tabia anayo jamaa mmoja wakuitwa "Scotty Kilmer" hapo mjini youtube. Yeye ana garage yake nyumbani na hutoa ushauri juu ya gari ipi ya kununua na ipi si ya kununua ila baada ya yote lazma aseme gari bora ni Toyota Celica ya 1994 maana ndio anayotembelea. Amezoeleka hivyo yani 🤣🤣🤣
 
Naipenda San Crown, Shida ni unywaji wake wa mafuta sio Rafiki Kws sisi wenye hela ya kuunga unga

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaza full tank,mshale uwe kwenye mswaki mda wote. Ukishuka kidogo unajazia na wese lako la 10000.

Hapo ndio utaiweza Crown na wala hutaona ikila mafuta sana. Tatizo tumezoea kuweka mafuta ya 10000 na kutembelea Reservior taa ikishawaka pale lazma gari uione nuksi. Unatembelea taa tu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] baharia amesahau kuitaja farasi yake! Hii tabia anayo jamaa mmoja wakuitwa "Scotty Kilmer" hapo mjini youtube. Yeye ana garage yake nyumbani na hutoa ushauri juu ya gari ipi ya kununua na ipi si ya kununua ila baada ya yote lazma aseme gari bora ni Toyota Celica ya 1994 maana ndio anayotembelea. Amezoeleka hivyo yani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hahah namsoma sana yule babu,ile celica yake full kuisifia,wenye benz&bmw wanamchukia yule babu hahah yule ni full kuponda tu.

kuna jamaa mwingine huko youtube anaitwa chris fix nae yuko fit kwny sekta hio ukipata muda mcheki.
 
Hahah namsoma sana yule babu,ile celica yake full kuisifia,wenye benz&bmw wanamchukia yule babu hahah yule ni full kuponda tu hahah.

kuna jamaa mwingine huko youtube anaitwa chris fix nae yuko fit kwny sekta hio ukipata muda mcheki.
Hahahah "Rev up your engines" 🤣🤣🤣 anakwambia Toyotas are reliable don't buy GM Crap!
Chrisfix kama nampata sema sijamzingatia sana. Wacha nimcheki nae.
 
Hahah mzee mtata sana yule, sometimes naenjoy sana nikigundua kuna ma car enthusiast wenzangu humu.
Hahahah "Rev up your engines" [emoji1787][emoji1787][emoji1787] anakwambia Toyotas are reliable don't buy GM Crap!
Chrisfix kama nampata sema sijamzingatia sana. Wacha nimcheki nae.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 baharia amesahau kuitaja farasi yake! Hii tabia anayo jamaa mmoja wakuitwa "Scotty Kilmer" hapo mjini youtube. Yeye ana garage yake nyumbani na hutoa ushauri juu ya gari ipi ya kununua na ipi si ya kununua ila baada ya yote lazma aseme gari bora ni Toyota Celica ya 1994 maana ndio anayotembelea. Amezoeleka hivyo yani 🤣🤣🤣
Nampata jamaa, ana Celica yake hio ndio gari bora kuliko zote! Nasubiri nione intro akitoka kwenye engine bay
 
Back
Top Bottom