niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Umejichelewesha Sana mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshindwa kuipenda na kuielewa nyama ya mbuzi 🙃Achana nae, huyo mdudu ni kama kula Unga (Poda) ni ngumu sana kumuacha sababu ana addiction, kibaya dini yangu hairuhusu hivyo sikushauri umle
Kwanini usijaribu Kuku choma au mbuzi roast?😊
Jaribu choma hasa ubavu flani hivi au pajani kwa chini, utanishukuru baadaeNimeshindwa kuipenda na kuielewa nyama ya mbuzi 🙃
Supu ya kitimoto sio tamu. Hata uiweke limao 20 na pilipili, hainogi!mnywe supu hutojutia
Mbona mungu hakuwaangamiza kipindi cha NoahKumbuka Yesu aliondoa mapepo na yakaingia kwa nguruwe nao nguruwe wakatumbukia baharini na hayo mapepo! Unataka kula mapepo?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Thread closed 🤗🤗🤗Mbona mungu hakuwaangamiza kipindi cha Noah
Unajua ukienda kwa mganga kutoa mapepo anaomba kuku,mbuzi au ng'ombe.Kumbuka Yesu aliondoa mapepo na yakaingia kwa nguruwe nao nguruwe wakatumbukia baharini na hayo mapepo! Unataka kula mapepo?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kumbuka Yesu aliondoa mapepo na yakaingia kwa nguruwe nao nguruwe wakatumbukia baharini na hayo mapepo! Unataka kula mapepo?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Mie kitimoto namba moja mbususu inasubiriKwa utamu ikitoka mbususu ni Kitimoto,,,Hii ni Kwa upande wa maoni ya kwangu Mimi wa Vitu vitamu!!
Mkuu hebu jaribu roast iliyochanganywa na ka mchicha kwa mbali! Haki ya nani utatoa machozi kwamba ulichelewa wapi?Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni..
Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu?
Je nimsindikize na ndizi ama kaugali?
Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha
Hii nadhani ni komenti Bora zaidi kuwahi kuishuhudia ihusuyo ugomvi wa huyo mnyama mtamuMbona mungu hakuwaangamiza kipindi cha Noah
Kwa mganga unatumia nini kutoa mapepoKitimoto walio ingiwa na mapepo waliona bora kufa kuliko kuishi na mapepo.