Ushauri: Nataka nianze kula kitimoto

Ushauri: Nataka nianze kula kitimoto

Uamuzi mzuri sana, hata madaktari walioingia madarasani huwa wanasisitiza kula nyama nyeupe.
Nakumbuka kule ubungo kwa mwenyekiti ngambo ya tanesco walikuwa wanauza hadi supu yake, yaani ile ukipiga utafikiri unatwanga supu ya kuku wa kienyeji hangover zote zinakata.
 
Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni..

Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu?

Je nimsindikize na ndizi ama kaugali?

Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha
Mbona maelezo yako ni ya mlaji mzoefu?
 
Mhm yakuchoma inakua nzuri kweli??? Yale mafuta mengi yanakuaje??? Likizo nakuja kuwasamilia na bibi mnipeleke nikaonje natamani kujua hio ya kuchoma inavokua!
Ni tamu mno yaani, kuna jamaa mtu wa Kilimanjaro anajua kuchoma balaa.

Ukipata na Serengeti lite inakuwa balaa πŸ˜‹

Nitamwambia Bibi yako akupeleke ukija kumsalimia πŸ€—
 
Ni tamu mno yaani, kuna jamaa mtu wa Kilimanjaro anajua kuchoma balaa.

Ukipata na Serengeti lite inakuwa balaa πŸ˜‹

Nitamwambia Bibi yako akupeleke ukija kumsalimia πŸ€—
Weee babu kumbe nawe watupia hivo vitu lol🀠???

Kabisa babu mwambie bibi Desemba ntapita kuwaona!
Auweee na Serengeti hapoo patamuuπŸ˜πŸ˜‹πŸ˜‹!!
 
Back
Top Bottom