kadinali JM
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 379
- 304
Mkulu yupi..wa 2025??huyu anawaza kupunguza hata hicho kidogomkuuu subir kwanza mkulu ataleta mambo mazur kwa watumishi 2 unaweza ukaacha afu badae biashara zkagoma afu nako mkulu ndo katema mambo mazur kwa watumishi kwaiyo vumilia tu mkuu
Pole sana kwa changamoto unazopitia lakini ongera kwa kutafuta freedom. Wengi wa watu waliokushauri wanakwambia mtaji huo ni bora unge make mwenyewe alafu ukanzia biashara then badaye ndo uchukuwe mkopo ili kudevelop business ni lakini option mbili ni muhimu hasa ikijuwa unachotaka kufanya.Ngoja nikupe story yangu labda uka learn kitu.Mp##zi wewe,labda wewe ndo slave
great thinker
ha ha ha ha poa mkuuhahahahahah mzeee unamahope ya kizembeeeeee.... hahahahah ajira kweli utumwa haki ya nani...
Kosa kubwa ulilo fanya ni kuja kuomba ushauri wafanya kazi. Ukitaka kujiajiri tafuta watu walio kwenye hiyo sekita wakupe ushauri. Huku utatiwa uoga hadi ukimbie.Wakuu habari za majukumu.
Natambua JamiiForums ni kijiwe cha wasomi na mchanganyiko wa watu wenye busara zao.
Najitokeza mbele yenu mnipe ushauri kidogo, kwa ufupi mimi ni muajiriwa katika serikali yetu hapa Tanzania, kutokana na changamoto za kazi na hali halisi ya maisha nina plan kukopa fedha kiasi cha 10m kisha nianzishe miradi yangu binafsi ili nijiajiri niachane na kuajiriwa maana naona napelekeshwa ilihali maslahi ni duni sana.
Kazi ni nyingi mno na maslahi ni kiduchu sana, nilitamani kuanzisha miradi nikiwa katika ajira lakini muda ninaoingia na kutoka kazini ni wastani wa masaa 11 mpaka 12 kwa siku, hali hii inanichosha sana kiasi kwamba hata nikifika home akili inakua imechoka sana naishia kulala tu.
Kwa mantiki hiyo naona umaskini wangu unaweza kua wa kudumu maana hata nikiwatazama walionitangulia naona hawana kitu kikubwa sana walichofanya maishani.
Nina dreams nyingi na kubwa, napenda kua mtu huru na mwenye mafanikio makubwa kupitia biashara na kilimo, naiona ajira kama kifungo cha kunifanya niwe maskini. Sasa kwakua nimekaa kwenye system kwa takribani miaka mitatu naona ni vema nijilipue nikafanye yangu.
Naomba ushauri na mapendekezo yenu, watu hatulingani akili endapo unaona niko wrong basi naomba unishauri namna ya kuboresha hili wazo.
Kejeli na matusi sio mahala pake hapa, mimi ni kijana kama ulivyo kijana pengine nikawa sawa na mwanao ni vema unishauri kwa kujua unamshauri ndugu yako na mwana JF mwenzako.
Natanguliza shukrani.
Kugumu kivipi? kugumu kama umelala. Hakuna kipindi Maisha yalikuwa rahisi. Kiwango cha uvivu ndo matokeo yake hayamtaani kugumu sana anzisha biashara yaako huku ukiendelea na kazi hadi hapo itakapokuwa stable ndio uache kazi
Biashara ikiwa changa inamuhitaji sana mwenye nayo au mwenye Idea.Biashara siyo lazima ufanye mwenyewe., while Ukiwa kwenye ajira anzisha biashara muajiri mtu wa kusimamia. Milioni kumi ni hela ndogo sana ambayo inaweza kuanzishia biashara usiyoijua from zero. Ila ungekuwa na experience na biashara yeyote ningekuwa wa kwanza kukushauri uache kazi, this is from real experience I have.
Endelea na kazi mkuu at the same time anzisha biashara after atleast two years baada ya kupita misimu mbali mbali ya biashara yako acha kazi.
Ni ushauri tuu
Inawezekana pia. Kuna kitu inaitwa Burn the boat.Ni jambo jema Sana kujiajiri ila nakushauri uanze hiyo biashara uliyopanga hata Kwa mtaji kidogo ili ukiona biashara yako imesimama ndio ukope kuongezea mtaji na ndio taratibu nyingine za kuacha kazi uzifanye Kwa sababu ukisema ukope hiyo pesa huku umeacha kazi alafu na biashara ikute ndo Mara yako ya kwanza kufanya, mkuu utayamani kukimbia nchi maana Kwa hali iliyopo inahitaji uweze kusoma soko kwanza kabla ya kujilipua kuweka pesa yote huko.
Yangu ni hayo tu
Hahahaaa huyo ni Victm wa AjiraAcha kumkatisha tamaa
kizazi cha sasa sio kama cha zamani
wazee wetu ajira ndio zilikuwa maisha yao
siku hizi fursa ni nyingi sana ....acha fikra za
kitumwa ww.....dizain ww utakuwa karani
hiyo kada ni ngumu kujiongeza
(only fools do not change their mind)
Atapataje experience akiwa kazini? au atakuwa anaifanyia kazini kwake?mimi ningekushauri uache kazi kama hela ingekuwa ya kwako ume save.. na biashara unayoenda kufanya unaijua kwa experience sio za kuhadithiwa na watu....
kukimbia deni sio njia sahihi siku hizi kuna credit reference utakuwa kwenye backlist na itakuharibia sana kukopa mbeleni maana hata biashara isimame kama mengi kukopa hakuishagiiii...
njia sahihi ni fanya ufanyavyo upate experiwnce ya biashara wakati upo kazini tayariiiiiii...
Anatakiwa kusimamia Idea yake mwenyewe. sasa unataka nani asimamie Idea yake?Anzisha kwanza biashara ikikolea ndio uzembee kazini usiache kazi kabla hujapata kazi. Mimi nakaribia kuacha baada ya kumaliza haka ka Master kangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuajiriwa ndo rahisi? kutumwa na kupelekesshwa ndo unaona Dili? nitajie rist ya Mfanya kazi tajiri hata mmoja.UKIKOPA na KUACHA KAZI huo mkopo utaulipaje? Si unatafuta kuolewa wewe?
Fanya hivi kama unakopa kwa kutumia mshahara hilo ni ruksa. Hiyo pesa iwekeze kwenye biashara. Ukifanikiwa kuendesha hiyo biashara baada ya mwaka mmoja bila kuyumba yumba ndipo ufikirie kuacha kazi. Kujiajiri sio rahisi kama watu wanavyosema...
So.kumbe mikopo hulipwa na mishahara? unajua principal za mikopo?hiyo milioni kumi utailipa vipi kama unaacha kazi?
Unasumbiwa na uoga na kuona kuajiriwa ndo Dili sana. Wewe huna kazi na muda wako? maana ya kuajiriwa ni kwamba wewe Muda ulio pewa na Mungu huna kazi nao bali inabidi uwapatie vichwa ambao ni risk taker wafanyaie kazi.
Ngumu kivipi? yeye si anajiajiri? Ujue tuna tujmnatumia back graoud za ajabu sana na hizi ndo zinatugharimu.Kaka Nina mengi ya kukushauri lkn sina mda wa kutosha kuandika hapa pia nina uvivu sana wa kutype. Labda nikukumbushe jambo, kaka ni ngumu kuacha kazi ili ukatafute kazi, tafuta kazi ndiyo uache kazi. Anza shughuli ndogo ndogo kwanza za kiabiashara ndiyo ujue nini ufanye
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu angalia maelezo yake ni kama anatumia Mshahara kukopa kama ndivyo achukuapo hela mwezi huo huo wanaanza kukata pia kumbuka amesema ndio anaenda kuanza biashara so ktk hicho kipindi utaulipa vipi huo mkopo?So.kumbe mikopo hulipwa na mishahara? unajua principal za mikopo?
au unazania ni ilenakopaga kununua Magari then mnakatwa the rest ya maisha yenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asiache kazi sasa biashara aanzishe vipi? apateje vipi uzoefu?Kwa uwelewa wangu nihivi usikope mkopo kwa ajili ya kuanzisha biashara ila kopa mkopo kwaajili ya kuendeleza biashara,,mkuu usiache kazi mpaka uhakikishe umeanzisha biashara na kumudu changamoto zake kisha ukiona hapa sasa sinashaka na hich nnachokifanya ilikutafuta mianya zaidi yakibiashara ndo ujilipue na uingie kusimamia biashara zako.Sababu hiyo milion 10 unaweza ukaiona kubwa ukaacha kazi kutokana na bado huna na hujapata changamoto za kibiashara ukaiona ikiteketea bila kujua,na nyumban pesa hakuna aisee utamtafuta mchawi nani wakati ni wewe mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app