Ushauri: Nataka nikope 10millions niache kazi serikalini, ili nijiajiri

Ushauri: Nataka nikope 10millions niache kazi serikalini, ili nijiajiri

BAKI KWENYE KIBARUA CHAKO MKUU

Niliwahi kuandika nyuzi apa yenye kichwa UZUSHI/UPOTOSHWAJI UNAOHUSISHWA NA UJASIRIAMALI, nilipata critics nyingi hasa kwa watu wasioelewa au pengine wamepotoshwa au hawajui na wala sio wajasiriamali.

Nimehusunisha uzi huo na hiki kinachokusibu ww, apa ushauri uliotolewa mwingi ni wa watu waliosikia au kusoma kuhusu ujasiriamali kutoka kwa watu wasio wajasiriamali au nao ni wajasiriamali tayari lakini hawajui dhana ya uhalisia wake ulivyo.

Mengi yamesemwa lakini kwa ushauri wng ni kuwa BAKI KWENYE KIBARUA CHAKO, infact kuwa mpole tu hata usidiriki kukopa na kufanya 'side husle/business' utalia charii.

Baki kwenye ajira yako maana unachokitafuta au kinachokusukuma kukimbilia ujasiriamali hutokipata na kwa ukweli ulivyo ni bora ubaki kibaruani. Nime highlight sabab zinazokufanya utake kuwa mjasiriamali na kwa hakika kama dhumuni lako ni kuchoka kupelekeshwa, kufanya kazi nyingi na kupata maslahi duni..huku chalii ni kwamba utafanya kazi kubwa tena kubwa na unaweza usipate malipo(faida) ata kwa mwaka mzima.

Unasema unataka uhuru, unafanya kazi masaa 11/12 jaribu kutizama mtu kama Elon musk au Marc Cuban hawa jamaa wanafanya kazi zaidi ya masaa 17-19 kwa siku, sasa ww 11 hrs zinakuchosha..fikiria mara mbili.

Anyway ya kuambiwa changanya na yako, ila kama sabab ni hizo zinakusukuma kutaka biashara/ujasiriamali nafikiri unahitaji kufikir zaid na kuwa na motive kubwa zaid ya hizo maana huku shuruba ni marambili zaid ya hizo kazini.

Kila la kher, kumbuka Men who do not have goals are doomed forever to work for these who do have goals.
Wewe ndo mshauri wa Biashara? au mshauri wa watu wasijiajiri?

Swala la mtu kujiajiri ni lake mwenyewe. Na Never compare kushindwa kwa mtu fulani na kushindwa kwangu.

Mafanikio ni matokeo na so usidhani jama kuacha kazi sasa basi mwakani atafanikiwa.

Dangote ilimuchukua 30 years kuwa pale alipo.

Mleta mada inaweza mchukua 20 years kufikia mafanikio au hata zaidi ya hapo.

Acha kuogopesha watu jiogopeshe mwenyewe.

Unapashwa huu ushauri kujipa mwenyewe.

Ingawa mleta mada kakosea sana make Mtu anatakiwa kufanya maamuzi mwenyewe.

NIONYESHE MFANYAKAZI TAJIRI. Zaidi ya kuwa na pesa ya kubadili Mboga na Nguo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiulize why wastaafu baadhi hufeli pamoja na mafao waliovuta!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Wabongo tunataka mtu aanze Biashara January na ikifika December awe na Range au awe anamilik hata VX kama vipi.

Mafanikio ni safari na kwenye hiyo safari kuna kushindwa kabisa. kuna kufilisika na kuamka na kuendelea na safari.

Unaleta hoja za wasatafu kushindwa? wameshindwa mara how times?
Kuna wenzako walishindwa mara hata 20 wengine mara 50 ila wakakomaaa hadi mwisho wa safari.

Mafanikio ni safari ndefu mno.

Hii safari kwa waoga haiwafai kabisa na kamwe
c3d685ee000688a4f1b2b6e189562c96.jpg

Sawa Mkuu. Hakukuwa na haja ya povu lote hili wakati dhumuni ni kumuelimisha ndg yetu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu point sana.

Umeingea point. Humu atatiwa uoga wa kufa mtu.

Ukitaka usifanye jambo basi anza kutafuya washauri kamwe hutafanya na ndo kinacjo fuata kwa huyu jamaa.

Humu wengi ni waajiriwa how come mwajiriwa amshauri mtu aache kazi? Never hapen

Sent using Jamii Forums mobile app

Mifumo ya ajira inawajaza uoga waajiriwa.....

Inawaaminisha kuwa hakuna maisha nje ya ajira

Hakuna kipato kingine nje ya mshahara na malupulupu ya kazini.....maisha yao yote yamejawa hofu mpaka anastaafu.......

Kitu ambacho waajiriwa wengi hawajui ni kuwa mshahara ( salary) imedizainiwa ili kukidhi mahitaji yako kwa nyakati zile utakazokuwa wanakutumia......

Ndio maana kwenye mshahara ili usave kiasi cha hela unatakiwa uyaache baadhi ya matumizi yako.....otherwise mshahara hauwezi kumfanya mtu kuwa tajiri......ndio maana maisha ya waajiriwa wengi yanaonekana mazuri kipindi akiwa kwenye ajira kwa kuwa kwa kipindi kile anaweza kukidhi mahitaji yake.......lakini nje ya ajira yake maisha yake hugeuka kuwa magumu sana......

Hao wote wanaozisifia ajira zao sio kwa kuwa wanalipwa mishahara mikubwa bali kwenye ajira zao kuna njia zao zisizo rasmi wanazozitumia kujipatia kipato nje ya mshahara....ndio hao wanaokushangaa ukija na idea ya kuacha kazi ili uwe huru ukifanya mambo yako.....

Kwa upande mwingine ujasiriamali ni talent kwa kuwa sio kila mtu anaweza kuziona fursa na kuifanyia kazi.......

Kwenye ujasiliamali unatakiwa uangalie changamoto inayoikabili jamii iwe ya huduma au bidhaa na wewe ukishajua au ukigundua mbinu za kukabiliana na changamoto hiyo....na wao watakulipa kwa kuwatatulia changamoto yao.....

Mfano Amazon au Alibaba wamegundua kuwa kuna uhitaji wa bidhaa mbali mbali duniani kote lakini si kila mwenye kuhitaji hiyo bidhaa anaweza kwenda kuinunua huko inakopatikana.....ndio wakaona ili kuitatua changamoto hiyo basi wakaanzisha online marketplace ambapo mtu hauhitaji tena kutafuta visa na kutenga hela ya hotel kwa ajili ya kwenda kununua bidhaa huko ughaibuni bali ni kufungua tu internet na kuyafanyia hayo mtandaoni.......na leo hii wote hao ni mabilionea ......

So entrepreneurship begins in your mindset not in your pocket

Ukiwa na idea nzuri watu wanaweza wakaku fund kwa kuwa wanajua kuwa itawalipa.....
 
Mkuu listen to yourself hii dunia kila mtu ana njia zake za kupita ili afanikiwe ukitaka ushauri sehemu kama hii utakuwa ka jibwa linalopotezwa na miluzi mingi. Nachoa amini mimi katika maisha ni kwamba kwa njia aliyopita mtu X na kufanikiwa katika maisha bi tofauti na njia atakayonpita mtu Y...hivyo basi njia aliyotumia mtu X inaweza kuwa ya hatari kwa mtu Y lakini kwa kuwa mtu X alikuwa na strong determination ya kutimiza malengo hakuona kama ni njia hatari alijiamini akaplan aliamini na kujiona yupo sahihi katika njia yake. Mtu Y alipita njia nyingine ambayo kwake yeye ilikuwa isiyo na hatari unless otherwise asingetusua bila kupita huko though njia hiyo inaweza ikawa si sahihi kwa mtu X.
Trust your path to success , kuwa na plan usikurupuke trust youself usiishi maisha ya kioo ili ufanikiwe...hakuna pesa inayokuja kizembe you have to work intelligently. Heshimu maamuzi yako.

Sent from myself
 
Nani kakwambia ukiwa na biashara yako ndo Utakuwa huru na upate muda me navyoelewa wenye biashara zao hawalali na hudamka asubuhi Sana na hulala Mida mibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua.maana ya uhuru? Tehe tehe, Kwako Uhuru ni kulala sana.

Sikiliza siku Mfumo wa Mishahara ukibadilika na Mishahara ikawa inalipwa kwa saa tu ulizo fanya kazi hakuna atakaye tamani sikukuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu..kwanza hongera sana kwa wazo jema...Hongerassnaaaa. .

Nimegundua hapa unapata ushauri kwa ""WATUMWA"" wengi...waoga..wadhaifu wakufikiri..waive Sana Hawa. .hawapendi kujishughulisha..

Kupanga nikuchagua..
Kwanza Fanya OPPORTUNITY COST. .
Linganisha kaziyako namalipo.mda na jinsi yakuacha kazi..
Waajiriwa wengi wana mawazo mgandosana..hasa hawa WA SEREKALI WAVIVU MNOOO WAOGA ..
Kama utakopa kopa tuu..najua mkopo una INSURANCE na NSSF au mfukowowote watakata kwenye malipo yako..
Kapige kazikaka biashara inalipasana..jitume zingatia..wengine tulishasahau kutumikishwa zsidi ya miaka mi5..heriyako unayekopa..mm sikukopa hatakumi..niliamua kuacha baada yakuchoka mishahara midogo ya serekali.

Usiogope mkuu...hakuna kitu muhimu kama resource muhimu kama MUDA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mifumo ya ajira inawajaza uoga waajiriwa.....

Inawaaminisha kuwa hakuna maisha nje ya ajira

Hakuna kipato kingine nje ya mshahara na malupulupu ya kazini.....maisha yao yote yamejawa hofu mpaka anastaafu.......

Kitu ambacho waajiriwa wengi hawajui ni kuwa mshahara ( salary) imedizainiwa ili kukidhi mahitaji yako kwa nyakati zile utakazokuwa wanakutumia......

Ndio maana kwenye mshahara ili usave kiasi cha hela unatakiwa uyaache baadhi ya matumizi yako.....otherwise mshahara hauwezi kumfanya mtu kuwa tajiri......ndio maana maisha ya waajiriwa wengi yanaonekana mazuri kipindi akiwa kwenye ajira kwa kuwa kwa kipindi kile anaweza kukidhi mahitaji yake.......lakini nje ya ajira yake maisha yake hugeuka kuwa magumu sana......

Hao wote wanaozisifia ajira zao sio kwa kuwa wanalipwa mishahara mikubwa bali kwenye ajira zao kuna njia zao zisizo rasmi wanazozitumia kujipatia kipato nje ya mshahara....ndio hao wanaokushangaa ukija na idea ya kuacha kazi ili uwe huru ukifanya mambo yako.....

Kwa upande mwingine ujasiriamali ni talent kwa kuwa sio kila mtu anaweza kuziona fursa na kuifanyia kazi.......

Kwenye ujasiliamali unatakiwa uangalie changamoto inayoikabili jamii iwe ya huduma au bidhaa na wewe ukishajua au ukigundua mbinu za kukabiliana na changamoto hiyo....na wao watakulipa kwa kuwatatulia changamoto yao.....

Mfano Amazon au Alibaba wamegundua kuwa kuna uhitaji wa bidhaa mbali mbali duniani kote lakini si kila mwenye kuhitaji hiyo bidhaa anaweza kwenda kuinunua huko inakopatikana.....ndio wakaona ili kuitatua changamoto hiyo basi wakaanzisha online marketplace ambapo mtu hauhitaji tena kutafuta visa na kutenga hela ya hotel kwa ajili ya kwenda kununua bidhaa huko ughaibuni bali ni kufungua tu internet na kuyafanyia hayo mtandaoni.......na leo hii wote hao ni mabilionea ......

So entrepreneurship begins in your mindset not in your pocket

Ukiwa na idea nzuri watu wanaweza wakaku fund kwa kuwa wanajua kuwa itawalipa.....
Mkuu ni kweli Kibongobongo Maisha ni Kuajiriwa.

Kibongo bongo Ili uwe na maisha mazuri basi fanya kazi kwa mtu mwingine sasa sijui huyo anaye fanyiwa yeye ana aina ipi ya maisha.

Ndo hata watoto wanaaminishwa hivyo so unayo yaona ni muendelezo wa tulio jazwa utotoni kwamba elimu ni kuajiriwa.

wacha tuendelee kuamini hivyo. inapendeza sana ili basi kwenye furusa wawepo wachache wapige pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Wabongo tunataka mtu aanze Biashara January na ikifika December awe na Range au awe anamilik hata VX kama vipi.

Mafanikio ni safari na kwenye hiyo safari kuna kushindwa kabisa. kuna kufilisika na kuamka na kuendelea na safari.

Unaleta hoja za wasatafu kushindwa? wameshindwa mara how times?
Kuna wenzako walishindwa mara hata 20 wengine mara 50 ila wakakomaaa hadi mwisho wa safari.

Mafanikio ni safari ndefu mno.

Hii safari kwa waoga haiwafai kabisa na kamwe
c3d685ee000688a4f1b2b6e189562c96.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwoga wako ndiyo umasikini wako
weingi ni waoga wa kuthubutu kila kitu kina umuhimu wake kwa wakati fulani kama umuhimu wa kazi siuoni japo nipo kazini only for three years why niendelee na kazi ya kuajiriwa??? umuhimu wake utakuwa umeishia hapo ndipo suala la kujiajiri linapochukuwa nafasi yake na maisha huanza kuwa na sura mpya. Changamoto zipo ni sehemu ya maisha tunayoishi hata huko tulikoajiriwa pia kuna changamoto zake mf. kusimamishwa ama kufukuzwa kazi nk . lakini hizi hawazioni kama ni changamoto kwa luwa wameajiriwa wanachojuwa wao ni hasara itokanayo na kufanya biashara...shame on them kwa sababu anahofia kitu ambacho hakijui hajawahi kuexperience.

Sent from myself
 
Mkuu ni kweli Kibongobongo Maisha ni Kuajiriwa.

Kibongo bongo Ili uwe na maisha mazuri basi fanya kazi kwa mtu mwingine sasa sijui huyo anaye fanyiwa yeye ana aina ipi ya maisha.

Ndo hata watoto wanaaminishwa hivyo so unayo yaona ni muendelezo wa tulio jazwa utotoni kwamba elimu ni kuajiriwa.

wacha tuendelee kuamini hivyo. inapendeza sana ili basi kwenye furusa wawepo wachache wapige pesa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakika mkuu

Tutakutana mbele ya safari....
 
Fanya uamuzi bila kuogopa.Pamoja na kujiajiri pia ukipata kazi sehemu yenye maslahi mazuri omba bado wewe ni kijana .tumia nafasi yako vzr. God bless you.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wa hovyo sana. Hivi nyie kufanya kazi kwa wanaume wengine mnaona sifa sana?

Yaani aache kazi ajiajiri pia atafute kazi nyingine?

Atafute ili iweje? ndo awe bilionare au?

Nili lini mtaelwa kwamba Ajira ni utumwa make umebinasifisha muda wako.

MUNGU ALITUPA WOTE MUDA SAWA MASAA 24, ila mbele ya safari wakatokea waoga sasa ikabidi watoe muda wao kwa wasio waoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom