CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Ndo mwisho wako wa kuwaza? Katika maisha ya binadamu kuna wakati kuwaza hufikia tamati sasa naina na wewe ndo isha kitawaafrika hatujazaliwa kufanya biashara....sisi tumezaliwa kuwa watumwa wa kuajiriwa mambo ya biashara waachie wahindi
Atalipa na biashara yake. Ujue si kweli kwamba huwezi kopa kuanzisha biashara.Mkuu angalia maelezo yake ni kama anatumia Mshahara kukopa kama ndivyo achukuapo hela mwezi huo huo wanaanza kukata pia kumbuka amesema ndio anaenda kuanza biashara so ktk hicho kipindi utaulipa vipi huo mkopo?
ndio maana duniani kuna machaguo ni kama ilivyo producers na consumers ukisema wote muwe wazalishaji wananuaji watatoka wapi.ni lazima wengine waajiri na wengine waajiriwe! kwa kubaliana na chaguo hilo lazima uchukue hatua ya ku forego baadhi ya vitu,hata wewe katika kujiajiri kwako kuna vitu ambaye aliyeajiriwa anavipata huku wewe huvipatiUnasumbiwa na uoga na kuona kuajiriwa ndo Dili sana. Wewe huna kazi na muda wako? maana ya kuajiriwa ni kwamba wewe Muda ulio pewa na Mungu huna kazi nao bali inabidi uwapatie vichwa ambao ni risk taker wafanyaie kazi.
Endelea kubinasifisha muda wako kama Madini.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani Jamii forum wote ni waajiriwa au walio changia huu uzi wote ni waajiriwa?Kosa kubwa ulilo fanya ni kuja kuomba ushauri wafanya kazi. Ukitaka kujiajiri tafuta watu walio kwenye hiyo sekita wakupe ushauri. Huku utatiwa uoga hadi ukimbie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatakiwa kusimamia Idea yake mwenyewe. sasa unataka nani asimamie Idea yake?
Yaani Idea yake then Shemeji yake asimamie au mke wake?
Haya ndo mambo yanatufabya tubakia kama tulivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
mshika mbili moja humponyoka wahenga walisema huwezi kuwa wa moto na uvugu vugu-watu wengi wana fail maishani kutokana na kutaka kuwa kotekote fanya moja ukiweza ujue umeweza na uki fail ujue ume failPia lazima ujue hiyo pesa unayopata ni mkopo utakalipwa na kitu gani?, sio huo mshahara ndio utakalipa huo mkopo?.
Fanya biashara ukiwa kazini. Na katika hiyo pesa chukua silimia 25 ndio uwnze hiuo biashara kilichobakia kiwe kipo kuangalia uimara wa hiyo biashara, na utakuwa ukiongeza mtaji kadiri biashara inavyoimarika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana mkuu kwa kutoa maelezo yenye maana yanayotokana na experience yako. Hii imenisaidia hata mm japo sio mwanzisha mada.[emoji106]Kujiajiri ni wazo zuri sana, siyo rahisi kufanikiwa maishani kwa kutegemea ajira.
Siwezi kusema idea yako kama ni nzuri au laa, watu huwa wana suggest kukopa kuendeleza biashara na siyo kuanzisha biashara.
Ila sometimes mtu huna option hiyo. Hatujui ni biashara gani unataka kuanzisha, au hata wewe una nidhamu kiasi gani kwenye hela, maisha na biashara, so kukwambia ufanye au usifanye ni kubahatisha.
Mimi niliacha kazi mwaka jana mwezi 7 na kuanzisha kampuni yangu. Mwanzo huwa ni mgumu, hasa kwa sababu ya expectations.
Ukiwa una plan biashara huwa tuna assume baada ya muda flani itaanza rudisha hela, mara nyingi haiwi hivyo.
So ushauri wangu, kuwa realistic kwenye expectations na pia like me nilinunua bodaboda kuingiza hela za kula nikiwa napambana na kampuni (ingawa bodaboda nayo inataka dereva mzuri, luck for me, wangu azingui)
All in all, panga, pangua, panga tena, kuwa na plan B na tafuta muda kwa namna yoyoye ile do research. Jifanye mwehu tu, zunguka uliza watu depending na biashara unayotaka kufungua.
Watu wengi wenyeelimu au waajiriwa tuna fail kuingia kwenye biashara kwa sababu tuna overthink. Tunawaza mno, tuna run scenerios nyingi, mara nyingi either zina tukatisha tamaa au tuna poteza interest, unakuja kushtuka darasa la 7 anakupita kimaendeleo.
All the best aisee. Biashara ndo mpango mzima. So far sijutii kuacha kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari za majukumu.
Natambua JamiiForums ni kijiwe cha wasomi na mchanganyiko wa watu wenye busara zao.
Najitokeza mbele yenu mnipe ushauri kidogo, kwa ufupi mimi ni muajiriwa katika serikali yetu hapa Tanzania, kutokana na changamoto za kazi na hali halisi ya maisha nina plan kukopa fedha kiasi cha 10m kisha nianzishe miradi yangu binafsi ili nijiajiri niachane na kuajiriwa maana naona napelekeshwa ilihali maslahi ni duni sana.
Kazi ni nyingi mno na maslahi ni kiduchu sana, nilitamani kuanzisha miradi nikiwa katika ajira lakini muda ninaoingia na kutoka kazini ni wastani wa masaa 11 mpaka 12 kwa siku, hali hii inanichosha sana kiasi kwamba hata nikifika home akili inakua imechoka sana naishia kulala tu.
Kwa mantiki hiyo naona umaskini wangu unaweza kua wa kudumu maana hata nikiwatazama walionitangulia naona hawana kitu kikubwa sana walichofanya maishani.
Nina dreams nyingi na kubwa, napenda kua mtu huru na mwenye mafanikio makubwa kupitia biashara na kilimo, naiona ajira kama kifungo cha kunifanya niwe maskini. Sasa kwakua nimekaa kwenye system kwa takribani miaka mitatu naona ni vema nijilipue nikafanye yangu.
Naomba ushauri na mapendekezo yenu, watu hatulingani akili endapo unaona niko wrong basi naomba unishauri namna ya kuboresha hili wazo.
Kejeli na matusi sio mahala pake hapa, mimi ni kijana kama ulivyo kijana pengine nikawa sawa na mwanao ni vema unishauri kwa kujua unamshauri ndugu yako na mwana JF mwenzako.
Natanguliza shukrani.
Mkuu point sana.Ndugu yangu mpendwa....mawazo kama hayo....unatakiwa uwe unayajadili mwenyewe na kuyafanyia maamuzi mwenyewe juu kwa juu.....huku ukijiweka tayari kukabiliana na changamoto za maamuzi yako.......
Maamuzi kama haya yanayohusisha mustakabali wa maisha yako Wewe ndio muamuzi sahihi kwa kadri unavyoona inafaa maana wewe ndio mhanga wa yale yanayoendelea maishani mwako...........
Pointmshika mbili moja humponyoka wahenga walisema huwezi kuwa wa moto na uvugu vugu-watu wengi wana fail maishani kutokana na kutaka kuwa kotekote fanya moja ukiweza ujue umeweza na uki fail ujue ume fail