CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
99%kwani Jamii forum wote ni waajiriwa au walio changia huu uzi wote ni waajiriwa?
Good idea!mtaani kugumu sana anzisha biashara yaako huku ukiendelea na kazi hadi hapo itakapokuwa stable ndio uache kazi
Wewe ndo mshauri wa Biashara? au mshauri wa watu wasijiajiri?BAKI KWENYE KIBARUA CHAKO MKUU
Niliwahi kuandika nyuzi apa yenye kichwa UZUSHI/UPOTOSHWAJI UNAOHUSISHWA NA UJASIRIAMALI, nilipata critics nyingi hasa kwa watu wasioelewa au pengine wamepotoshwa au hawajui na wala sio wajasiriamali.
Nimehusunisha uzi huo na hiki kinachokusibu ww, apa ushauri uliotolewa mwingi ni wa watu waliosikia au kusoma kuhusu ujasiriamali kutoka kwa watu wasio wajasiriamali au nao ni wajasiriamali tayari lakini hawajui dhana ya uhalisia wake ulivyo.
Mengi yamesemwa lakini kwa ushauri wng ni kuwa BAKI KWENYE KIBARUA CHAKO, infact kuwa mpole tu hata usidiriki kukopa na kufanya 'side husle/business' utalia charii.
Baki kwenye ajira yako maana unachokitafuta au kinachokusukuma kukimbilia ujasiriamali hutokipata na kwa ukweli ulivyo ni bora ubaki kibaruani. Nime highlight sabab zinazokufanya utake kuwa mjasiriamali na kwa hakika kama dhumuni lako ni kuchoka kupelekeshwa, kufanya kazi nyingi na kupata maslahi duni..huku chalii ni kwamba utafanya kazi kubwa tena kubwa na unaweza usipate malipo(faida) ata kwa mwaka mzima.
Unasema unataka uhuru, unafanya kazi masaa 11/12 jaribu kutizama mtu kama Elon musk au Marc Cuban hawa jamaa wanafanya kazi zaidi ya masaa 17-19 kwa siku, sasa ww 11 hrs zinakuchosha..fikiria mara mbili.
Anyway ya kuambiwa changanya na yako, ila kama sabab ni hizo zinakusukuma kutaka biashara/ujasiriamali nafikiri unahitaji kufikir zaid na kuwa na motive kubwa zaid ya hizo maana huku shuruba ni marambili zaid ya hizo kazini.
Kila la kher, kumbuka Men who do not have goals are doomed forever to work for these who do have goals.
Tatizo Wabongo tunataka mtu aanze Biashara January na ikifika December awe na Range au awe anamilik hata VX kama vipi.
Sawa Mkuu. Hakukuwa na haja ya povu lote hili wakati dhumuni ni kumuelimisha ndg yetu!Tatizo Wabongo tunataka mtu aanze Biashara January na ikifika December awe na Range au awe anamilik hata VX kama vipi.
Mafanikio ni safari na kwenye hiyo safari kuna kushindwa kabisa. kuna kufilisika na kuamka na kuendelea na safari.
Unaleta hoja za wasatafu kushindwa? wameshindwa mara how times?
Kuna wenzako walishindwa mara hata 20 wengine mara 50 ila wakakomaaa hadi mwisho wa safari.
Mafanikio ni safari ndefu mno.
Hii safari kwa waoga haiwafai kabisa na kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu point sana.
Umeingea point. Humu atatiwa uoga wa kufa mtu.
Ukitaka usifanye jambo basi anza kutafuya washauri kamwe hutafanya na ndo kinacjo fuata kwa huyu jamaa.
Humu wengi ni waajiriwa how come mwajiriwa amshauri mtu aache kazi? Never hapen
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasemaje ndugu muoga?Sawa Mkuu. Hakukuwa na haja ya povu lote hili wakati dhumuni ni kumuelimisha ndg yetu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua.maana ya uhuru? Tehe tehe, Kwako Uhuru ni kulala sana.Nani kakwambia ukiwa na biashara yako ndo Utakuwa huru na upate muda me navyoelewa wenye biashara zao hawalali na hudamka asubuhi Sana na hulala Mida mibaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli Kibongobongo Maisha ni Kuajiriwa.Mifumo ya ajira inawajaza uoga waajiriwa.....
Inawaaminisha kuwa hakuna maisha nje ya ajira
Hakuna kipato kingine nje ya mshahara na malupulupu ya kazini.....maisha yao yote yamejawa hofu mpaka anastaafu.......
Kitu ambacho waajiriwa wengi hawajui ni kuwa mshahara ( salary) imedizainiwa ili kukidhi mahitaji yako kwa nyakati zile utakazokuwa wanakutumia......
Ndio maana kwenye mshahara ili usave kiasi cha hela unatakiwa uyaache baadhi ya matumizi yako.....otherwise mshahara hauwezi kumfanya mtu kuwa tajiri......ndio maana maisha ya waajiriwa wengi yanaonekana mazuri kipindi akiwa kwenye ajira kwa kuwa kwa kipindi kile anaweza kukidhi mahitaji yake.......lakini nje ya ajira yake maisha yake hugeuka kuwa magumu sana......
Hao wote wanaozisifia ajira zao sio kwa kuwa wanalipwa mishahara mikubwa bali kwenye ajira zao kuna njia zao zisizo rasmi wanazozitumia kujipatia kipato nje ya mshahara....ndio hao wanaokushangaa ukija na idea ya kuacha kazi ili uwe huru ukifanya mambo yako.....
Kwa upande mwingine ujasiriamali ni talent kwa kuwa sio kila mtu anaweza kuziona fursa na kuifanyia kazi.......
Kwenye ujasiliamali unatakiwa uangalie changamoto inayoikabili jamii iwe ya huduma au bidhaa na wewe ukishajua au ukigundua mbinu za kukabiliana na changamoto hiyo....na wao watakulipa kwa kuwatatulia changamoto yao.....
Mfano Amazon au Alibaba wamegundua kuwa kuna uhitaji wa bidhaa mbali mbali duniani kote lakini si kila mwenye kuhitaji hiyo bidhaa anaweza kwenda kuinunua huko inakopatikana.....ndio wakaona ili kuitatua changamoto hiyo basi wakaanzisha online marketplace ambapo mtu hauhitaji tena kutafuta visa na kutenga hela ya hotel kwa ajili ya kwenda kununua bidhaa huko ughaibuni bali ni kufungua tu internet na kuyafanyia hayo mtandaoni.......na leo hii wote hao ni mabilionea ......
So entrepreneurship begins in your mindset not in your pocket
Ukiwa na idea nzuri watu wanaweza wakaku fund kwa kuwa wanajua kuwa itawalipa.....
Acha uoga mkuu,... Unatakiwa uwe na ndoto ya kuajiri na sio kuajiriwa... Amka!NAONA UNATAKA KUISOMA NAMBA KWA KUJITAKIA.KILA LA HERI MKUU
Uwoga wako ndiyo umasikini wakoTatizo Wabongo tunataka mtu aanze Biashara January na ikifika December awe na Range au awe anamilik hata VX kama vipi.
Mafanikio ni safari na kwenye hiyo safari kuna kushindwa kabisa. kuna kufilisika na kuamka na kuendelea na safari.
Unaleta hoja za wasatafu kushindwa? wameshindwa mara how times?
Kuna wenzako walishindwa mara hata 20 wengine mara 50 ila wakakomaaa hadi mwisho wa safari.
Mafanikio ni safari ndefu mno.
Hii safari kwa waoga haiwafai kabisa na kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli Kibongobongo Maisha ni Kuajiriwa.
Kibongo bongo Ili uwe na maisha mazuri basi fanya kazi kwa mtu mwingine sasa sijui huyo anaye fanyiwa yeye ana aina ipi ya maisha.
Ndo hata watoto wanaaminishwa hivyo so unayo yaona ni muendelezo wa tulio jazwa utotoni kwamba elimu ni kuajiriwa.
wacha tuendelee kuamini hivyo. inapendeza sana ili basi kwenye furusa wawepo wachache wapige pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wa hovyo sana. Hivi nyie kufanya kazi kwa wanaume wengine mnaona sifa sana?Fanya uamuzi bila kuogopa.Pamoja na kujiajiri pia ukipata kazi sehemu yenye maslahi mazuri omba bado wewe ni kijana .tumia nafasi yako vzr. God bless you.
Sent using Jamii Forums mobile app