Mkuu una staafu una umri wa miaka 60 mathalan unapewa ml.100 hapo huna nyumba huna kitega uchumi chochote huna usfiri wako binafsi...kibongobongo kwa umri huo kuhustle na kutusuwa ni ndoto sanaaaa nadiriki kusema haiwezekani...mtaafu huyu hana experience yoyote ya biashara muda wake wote amekuwa mtumishi kwa wengine lazima afeli na ukizingatia umri wake hilo ni juwa la jioni mkuu.
Hiyo 10m hesabu ya kuwa una mtaji wa 7m kwa sababu 3m lazima iingie katika maandalizi ya sehemu ya biashara. Maandalizi ninamaanisha kodi ya chumba na kukiandaa chumba ili uweke bidhaa. Hivyo huo ni mtaji mdogo sana kwani na mzunguko wa biashara kwa sasa si wa kuridhishaWakuu habari za majukumu.
Natambua JamiiForums ni kijiwe cha wasomi na mchanganyiko wa watu wenye busara zao.
Najitokeza mbele yenu mnipe ushauri kidogo, kwa ufupi mimi ni muajiriwa katika serikali yetu hapa Tanzania, kutokana na changamoto za kazi na hali halisi ya maisha nina plan kukopa fedha kiasi cha 10m kisha nianzishe miradi yangu binafsi ili nijiajiri niachane na kuajiriwa maana naona napelekeshwa ilihali maslahi ni duni sana.
Kazi ni nyingi mno na maslahi ni kiduchu sana, nilitamani kuanzisha miradi nikiwa katika ajira lakini muda ninaoingia na kutoka kazini ni wastani wa masaa 11 mpaka 12 kwa siku, hali hii inanichosha sana kiasi kwamba hata nikifika home akili inakua imechoka sana naishia kulala tu.
Kwa mantiki hiyo naona umaskini wangu unaweza kua wa kudumu maana hata nikiwatazama walionitangulia naona hawana kitu kikubwa sana walichofanya maishani.
Nina dreams nyingi na kubwa, napenda kua mtu huru na mwenye mafanikio makubwa kupitia biashara na kilimo, naiona ajira kama kifungo cha kunifanya niwe maskini. Sasa kwakua nimekaa kwenye system kwa takribani miaka mitatu naona ni vema nijilipue nikafanye yangu.
Naomba ushauri na mapendekezo yenu, watu hatulingani akili endapo unaona niko wrong basi naomba unishauri namna ya kuboresha hili wazo.
Kejeli na matusi sio mahala pake hapa, mimi ni kijana kama ulivyo kijana pengine nikawa sawa na mwanao ni vema unishauri kwa kujua unamshauri ndugu yako na mwana JF mwenzako.
Natanguliza shukrani.
Wewe ndo mshauri wa Biashara? au mshauri wa watu wasijiajiri?
Swala la mtu kujiajiri ni lake mwenyewe. Na Never compare kushindwa kwa mtu fulani na kushindwa kwangu.
Mafanikio ni matokeo na so usidhani jama kuacha kazi sasa basi mwakani atafanikiwa.
Dangote ilimuchukua 30 years kuwa pale alipo.
Mleta mada inaweza mchukua 20 years kufikia mafanikio au hata zaidi ya hapo.
Acha kuogopesha watu jiogopeshe mwenyewe.
Unapashwa huu ushauri kujipa mwenyewe.
Ingawa mleta mada kakosea sana make Mtu anatakiwa kufanya maamuzi mwenyewe.
NIONYESHE MFANYAKAZI TAJIRI. Zaidi ya kuwa na pesa ya kubadili Mboga na Nguo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wafanyabiashara wote, wakulima wote walianza na mtaji zaidi ya 10 m?yaan m 10 uache kazi ndugu yangu utakuja kujuta maisha yako yote m10 ni hela ya dagaa tu haiwez kukusaidia chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Good ideaWewe ndo mshauri wa Biashara? au mshauri wa watu wasijiajiri?
Swala la mtu kujiajiri ni lake mwenyewe. Na Never compare kushindwa kwa mtu fulani na kushindwa kwangu.
Mafanikio ni matokeo na so usidhani jama kuacha kazi sasa basi mwakani atafanikiwa.
Dangote ilimuchukua 30 years kuwa pale alipo.
Mleta mada inaweza mchukua 20 years kufikia mafanikio au hata zaidi ya hapo.
Acha kuogopesha watu jiogopeshe mwenyewe.
Unapashwa huu ushauri kujipa mwenyewe.
Ingawa mleta mada kakosea sana make Mtu anatakiwa kufanya maamuzi mwenyewe.
NIONYESHE MFANYAKAZI TAJIRI. Zaidi ya kuwa na pesa ya kubadili Mboga na Nguo
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment kama hizi ndo huwa Wachina wakisoma wanafurahi sana na kutuona tulivyo mazuzu.yaan m 10 uache kazi ndugu yangu utakuja kujuta maisha yako yote m10 ni hela ya dagaa tu haiwez kukusaidia chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu analalamika for 30 years kwamba mshahara mdogo lakini bado yupo tu. asubuhi anaamuka analalamika njia nzima kwenda kazini.Hawaajiriwa nani KAWALOGA? Endeleeni kulala huko enzi ya utumwa....
Inachekesha hawajitambui wanawaza RUSHWA DILI
...Things do change abractly. Wenyewe mnaona serekali imewaundia WIZARA INAYOITWA WIZARA YA UTUMWA...MNAITA UTUMISHI WA UMMA....
NENO UTUMISHI LINATOKANA NA NENO UTUMWA.....duuu aibu...mshahara hautoshi kabisaaaaa...huu WA UTUMISHI..DUU...MARA TGS. A.B.C.D.E.......HADI PAFO....NI SHIIDAAA
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hata wschina wanawazana hapa kwasababu Kuna chip leba..nawanaambiana wabongo Wana penda utumwasana...Mtu analalamika for 30 years kwamba mshahara mdogo lakini bado yupo tu. asubuhi anaamuka analalamika njia nzima kwenda kazini.
Utumwa si kufungwa minyororo hata kufanya kazi kwa mtu mwingine ni utumwa pia make anakuwa anakumiliki.
Point mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru pia kwa mchango wako mkuu
hii comment yako imenfanya ninywe chai bila sukari maana content iliyomo ndani ya hii comment ni sukari tosha.....tutakuja tu na sisi tuko njiani mkuuNi wazo zuri kama pesa ungekuwa umesave mwenyewe lakini ya kukopa ndugu yangu kwenda kuanzisha biashara mpya, bila kujua changamoto zake sikushauri uache kazi, badala yake, tafuta kimtaji chako kidogo jaribu kufanya hiyo biashara ambayo unataka kufanya jaribu hata kwa mwaka hivi utakuwa umejifunza, hapo unaweza kukopa kuongezea kwenye biashara na kuacha kazi.
Mimi nilifikia hatua ya kuacha kazi baada ya miaka 6 kazini, sikuona mabadiliko yoyote kwenye maisha yangu, mwisho niliamua kuacha kazi, wakati nimeacha nilikuwa nimesave kama milion 3 zangu peke yangu, nikauza mpaka vitu vya ndani kuongezea mtaji, nilijitesa ndani ya miezi 6 mambo yakaanza kunyooka. Toka nimeacha kazi nina miaka 2 niliacha sina hata kiwanja, lakini sasa ni nyumba 1 na viwanja 3, watoto wanakula, shule wanakwenda, biashara imesimama, account inasoma, Natembelea miguu minne, nina muda wa kutosha kufanya mambo yangu, nimetengeneza ajira zaidi ya watu 15. Ninatoa amri mimi wala hakuna wa kunipangia. Maisha ya kitumwa nilishatoka. Karibu sana ndugu yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kazi inamsaidia nini zaidi ya pesa yote kuishia kwenye kulayaan m 10 uache kazi ndugu yangu utakuja kujuta maisha yako yote m10 ni hela ya dagaa tu haiwez kukusaidia chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Point mkuuMtu analalamika for 30 years kwamba mshahara mdogo lakini bado yupo tu. asubuhi anaamuka analalamika njia nzima kwenda kazini.
Utumwa si kufungwa minyororo hata kufanya kazi kwa mtu mwingine ni utumwa pia make anakuwa anakumiliki.
Point mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm sipo kwenye hiyo dunia kabisa,washakuhakiki mkuU...?????