Ushauri: Nataka ninunue baiskeli kwa mazoezi na safari fupi fupi

baiskeli ya ujamaa,umoja,mshkamano na uzalendo.
mwalimu👇
images (9).jpeg
 
Wakuu kwema.

Mkazi wa Dar, nataka ninunue baiskeli kwaajili ya mazoezi na siku moja moja hali ya hewa ikiwa nzuri natumia kwenda nayo kazini (3KM kutoka nyumbani).

Naomba ushauri wenu, kwa budget ya mwisho Laki 1.5 naweza kupata aina gani ya baiskeli? Itatosha au niongeze?Je kuna brand ya kuzingatia? Kwa Dar es Salaam ni wapi nitapata kwa bei nzuri na imara? Nategemea kununua used, iwe kama hii kwenye picha (sio 100%) kama hii ila muundo huu, sio zile sewa.

View attachment 2940135View attachment 2940136
Unavyonunua baiskeli naambiwa kuna size, je ni size ya matairi au? Mimi nina urefu wa cm 190 hivi je size hani itanifaa.

Nimeona nitafute basikeli kwasababu kazi yangu muda mwingi nakua nimekaa, hafu kila nikijaribu kwenda gym nashindwa kua na ratiba nzuri u akuta baada ya week naacha kwenda, na pia nataka hobby mpya.

Shukrani.
Wazo zuri sana pale temeke kama unakwenda soko la double cabin kuna wapemba wanaziuza hapo kuna za aina nyingi tofauti hebu fanya kupita hapo watakupa na ushauri pia.
 
Udalali umekuwa kero sana na jamii umeufanya kuwa legal,k/koo mtaa wa aggrey kuna wauzaji wa baiskeli bomba kama giant,trek,specialized...za mtu kuanzia 180k -1m
 
Ahsante sana kushare kitu positive mzee Mad Max

Unajua hizi ndoto nyingine ndogondogo ni za kutimiza tu right away🤨.

Mdogomdogo unajijengea tabia ya kuwa 'mtimizaji wa ndoto binafsi'. So baada ya muda before you know it uko tayari unamiliki YAMAHA Tenere 700 huhuuuuh! Au kabisa unasukuma li Ford F150-Lariat Powerboost Hybrid 😳😳🤓

Anyway huko tutafika tu, now ngoja tuanze tu na Mudyfox Shimano equiped bicycle with revoshift gear system 😁😄😄😄. Learning optimism
Screenshot_20240329-071302_Gallery.jpg
 
Ungeongeza pesa kidogo upate yenye brake za drum, jitahidi upate na kofia ya kuzuia kichwa, wengi wetu hatukumbuki kilinda kichwa tukidhani waendesha baiskeli hawakumbani na ajali.

Rejea kifo cha yule mwendesha baiskeli wa Kenya, jina simkumbuki, by the way karibu kwenye chama la wanyonga baiskeli, upande wangu nimeanza mwezi February mwaka huu, namshukuru Mungu this time nimeanza kuimarika nilikuwa nahema sana nikipanda ngazi za pale China Plaza, mafuta yalizidi mwilini..

Nakimbiza upepo mitaa ya Mipeko Wilayani Mkuranga, wakati mwingine utanikuta Chanika ya Ilala..
 
Attachments

  • 20240403_074853.jpg
    20240403_074853.jpg
    2.1 MB · Views: 10
Ungeongeza pesa kidogo upate yenye brake za drum, jitahidi upate na kofia ya kuzuia kichwa, wengi wetu hatukumbuki kilinda kichwa tukidhani waendesha baiskeli hawakumbani na ajali.

Rejea kifo cha yule mwendesha baiskeli wa Kenya, jina simkumbuki, by the way karibu kwenye chama la wanyonga baiskeli, upande wangu nimeanza mwezi February mwaka huu, namshukuru Mungu this time nimeanza kuimarika nilikuwa nahema sana nikipanda ngazi za pale China Plaza, mafuta yalizidi mwilini..

Nakimbiza upepo mitaa ya Mipeko Wilayani Mkuranga, wakati mwingine utanikuta Chanika ya Ilala..
Dah, bro asante sana mzee. Nitatafuta kofia kusema kweli sina kofia.
 
Ahsante sana kushare kitu positive mzee Mad Max

Unajua hizi ndoto nyingine ndogondogo ni za kutimiza tu right away🤨.

Mdogomdogo unajijengea tabia ya kuwa 'mtimizaji wa ndoto binafsi'. So baada ya muda before you know it uko tayari unamiliki YAMAHA Tenere 700 huhuuuuh! Au kabisa unasukuma li Ford F150-Lariat Powerboost Hybrid 😳😳🤓

Anyway huko tutafika tu, now ngoja tuanze tu na Mudyfox Shimano equiped bicycle with revoshift gear system 😁😄😄😄. Learning optimismView attachment 2947700
Pamoja sana mzee. Haina haja ya kuanza na pikipiki tutafika tu.
 
Ungeongeza pesa kidogo upate yenye brake za drum, jitahidi upate na kofia ya kuzuia kichwa, wengi wetu hatukumbuki kilinda kichwa tukidhani waendesha baiskeli hawakumbani na ajali.

Rejea kifo cha yule mwendesha baiskeli wa Kenya, jina simkumbuki, by the way karibu kwenye chama la wanyonga baiskeli, upande wangu nimeanza mwezi February mwaka huu, namshukuru Mungu this time nimeanza kuimarika nilikuwa nahema sana nikipanda ngazi za pale China Plaza, mafuta yalizidi mwilini..

Nakimbiza upepo mitaa ya Mipeko Wilayani Mkuranga, wakati mwingine utanikuta Chanika ya Ilala..
Nita upgrade. Sikupata information za kutosha mkuu.
 
Kuwa makini barabarani maana barabara zetu sio kwaajili ya waendesha Bike wala watembea miguu
 
Back
Top Bottom