Ushauri: Nataka ninunue baiskeli kwa mazoezi na safari fupi fupi

Wazo zuri sana pale temeke kama unakwenda soko la double cabin kuna wapemba wanaziuza hapo kuna za aina nyingi tofauti hebu fanya kupita hapo watakupa na ushauri pia.
 
Udalali umekuwa kero sana na jamii umeufanya kuwa legal,k/koo mtaa wa aggrey kuna wauzaji wa baiskeli bomba kama giant,trek,specialized...za mtu kuanzia 180k -1m
 
Ahsante sana kushare kitu positive mzee Mad Max

Unajua hizi ndoto nyingine ndogondogo ni za kutimiza tu right away๐Ÿคจ.

Mdogomdogo unajijengea tabia ya kuwa 'mtimizaji wa ndoto binafsi'. So baada ya muda before you know it uko tayari unamiliki YAMAHA Tenere 700 huhuuuuh! Au kabisa unasukuma li Ford F150-Lariat Powerboost Hybrid ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿค“

Anyway huko tutafika tu, now ngoja tuanze tu na Mudyfox Shimano equiped bicycle with revoshift gear system ๐Ÿ˜๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„. Learning optimism
 
Ungeongeza pesa kidogo upate yenye brake za drum, jitahidi upate na kofia ya kuzuia kichwa, wengi wetu hatukumbuki kilinda kichwa tukidhani waendesha baiskeli hawakumbani na ajali.

Rejea kifo cha yule mwendesha baiskeli wa Kenya, jina simkumbuki, by the way karibu kwenye chama la wanyonga baiskeli, upande wangu nimeanza mwezi February mwaka huu, namshukuru Mungu this time nimeanza kuimarika nilikuwa nahema sana nikipanda ngazi za pale China Plaza, mafuta yalizidi mwilini..

Nakimbiza upepo mitaa ya Mipeko Wilayani Mkuranga, wakati mwingine utanikuta Chanika ya Ilala..
 

Attachments

  • 20240403_074853.jpg
    2.1 MB · Views: 10
Dah, bro asante sana mzee. Nitatafuta kofia kusema kweli sina kofia.
 
Pamoja sana mzee. Haina haja ya kuanza na pikipiki tutafika tu.
 
Nita upgrade. Sikupata information za kutosha mkuu.
 
Kuwa makini barabarani maana barabara zetu sio kwaajili ya waendesha Bike wala watembea miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ