Ushauri: Nataka nioe Binti wa Kishua

kwanini unataka kuoa huyo binti? au unataka kuoa kwasababu ya status ya familia yake msaidiane katika maisha?
Mimi nakushauri achana naye tafuta mwanamke mwingine.Huyo mwanamke hajui anatafuta nini, pia ni mtu wa kuyumbishwa.
 
Manzi hakuelewi huyo mkuu

Angekuw yumo mazima asingeshikiwa akili na mtu yeyote hata huyo mzee wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…