Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Naomba utuambie uzuri na ubaya wa hizi gari ,nimetokea kuzipenda sana ule muundo wake wa bodiHizo gari ukizingatia masharti wala hazina shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba utuambie uzuri na ubaya wa hizi gari ,nimetokea kuzipenda sana ule muundo wake wa bodiHizo gari ukizingatia masharti wala hazina shida.
Ok mimi naishi Arusha...mwaka 2017 nilisafiri na hili gari kuelekea Dar. .tatizo lilinianzia njiani nilipofika Dar kuna dereva tax mmoja alinitafutia fundi..@Boeing 747 dogo langu huku nae Kuna mtu anataka kumuachia kwa hela ya kawaida ila imepaki na tatizo ndio Kama Hilo lilivyoanza., Akiichukua ntampa maelekezo umpe uelekeo wa wapi jijini Dar atapata Service hio mkuu
Boss kwa uzoefu wangu wa kumiliki gari lampuni ya nissan takribani miaka mitano sasa, naweza nikasema hivi..Naomba utuambie uzuri na ubaya wa hizi gari ,nimetokea kuzipenda sana ule muundo wake wa bodi
Ahsante nashukuru Mkuu ,ngoja nijichange nivute hii Fuga ,itakua ya mtoko Mara moja mojaMwisho...hakuna gari baya au bovu...mafundi wetu ndiyo wabaya wamelowea kwenye toyota...gari lolote ukilitunza na kulipa huduma stahiki mfano spea, engine oil za kueleweka na transmission fluid ambazo ni recommended na manufacturer, gari lako utalipenda na kulifurahia.
Umeipatia maeneo gani afande?wakuu nimepata iinjini complete 1.9m fundi laki 5
Kha!! Mikangafu tena?Nissan dawa yake kuweka injini za mikangafu ya Toyota unaishi Stress Free
Injini ya Fuga? Au 1G?wakuu nimepata iinjini complete 1.9m fundi laki 5