Ushauri: Naweza msafirisha Mjamzito wa miezi 7?

JourneyMan

Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
42
Reaction score
50
Naomba ushauri kwa wazoefu, wataalamu, wajuzi n.k

Amebakiza miezi 2 kwa makadirio.

Ni safari ya almost 8Hrs, kutoka Dar kwenda mkoani.

Tayari nipo out of time, safari hio ni either kesho/keshokutwa or never.

Kama inawezekana, nini vya kuzingatia?

NOTE: ni kwa njia ya Public transport/Bus.
 
Zingatia

1) Aina ya usafiri unaotumia

2) Hali yake ya kiafya mfano kama alishakuwa na complications za ujauzito akapewa masharti kadhaa, kwa mfano kama alishapata Miscarriage anaweza asiruhusiwe na daktari, kuna ninayemfahamu ana mimba ya miezi mitatu tu (3) lakini ameambiwa asipande bodaboda, at least bajaji au boxer kidogo kwa tahadhari.

3) Pia zingatia hali ya barabara mpaka hapo atakapofikia mwisho wa safari.

NB: Mimi kama mimi kama ni Mke wangu simsafirishi kabisa, namuacha apumzike hata kama barabara ni ya sakafu mwanzo mwisho.

Sikuhizi Mwanamke kubeba ujauzito salama mpaka stage ya mwisho sio jambo rahisi tofauti na zamani, mambo ni mengi sijui pressure za mimba n.k
 
Tayari nipo out of time, safari hio ni either kesho/keshokutwa or never...

Kama inawezekana, nini vya kuzingatia???

NOTE: ni kwa njia ya Public transport/Bus.
Panda ndege au private car.
 
Mkoa upi? Anatoka wapi kwenda wapi?
Dar Dodoma, Dar Arusha, ingia gharama ya LUXURY basi lenye choo asipate adha ya kunyanyasika kuchimba dawa.

Everyday is Saturday................................😎
 
Zingatia

1) Aina ya usafiri unaotumia

2) Hali yake ya kiafya mfano kama alishakuwa na complications za ujauzito akapewa masharti kadhaa, kwa mfano kama alishapata Miscarriage anaweza asiruhusiwe na daktari, kuna ninayemfahamu ana mimba ya miezi mitatu tu (3) lakini ameambiwa asipande bodaboda, at least bajaji au boxer kidogo kwa tahadhari.

3) Pia zingatia hali ya barabara mpaka hapo atakapofikia mwisho wa safari.

NB: Mimi kama mimi kama ni Mke wangu simsafirishi kabisa, namuacha apumzike hata kama barabara ni ya sakafu mwanzo mwisho.

Sikuhizi Mwanamke kubeba ujauzito salama mpaka stage ya mwisho sio jambo rahisi tofauti na zamani, mambo ni mengi sijui pressure za mimba n.k
[emoji1666][emoji1666][emoji106][emoji106]
 
Kama yuko fit hana shida kiafya yes asafiri tu
Ila ingekua private car ingependeza zaidi ili hata akiweza analala kwa kujinyoosha manake mjamzito akikaa sana hupeleka miguu kuvimba
 
Naomba ushauri kwa wazoefu, wataalamu, wajuzi n.k

Amebakiza miezi 2 kwa makadirio.

Ni safari ya almost 8Hrs, kutoka Dar kwenda mkoani.

Tayari nipo out of time, safari hio ni either kesho/keshokutwa or never.

Kama inawezekana, nini vya kuzingatia?

NOTE: ni kwa njia ya Public transport/Bus.
Ili mradi hutumii tractor kwa ajili ya hiyo safari basi hakuna tatizo. Na pia gari kama pick up haziko comfortable, hasa Toyota pich up, au gari yeyote inayotumia leaf springs. Kama una gari una suspension murua basi hutalazimika kumzalisha njiani.

Na huenda ni bora safari yako ukaivunja katika siku mbili, yaani nenda nusu, lala, then malizia njiani. Mimba ya miezi saba kukaa umejikunja kwenye kiti kwa saa nane sio vizuri, unaweza kuleta tatizo la pressure. Na hicho ni kitu cha kuangalia - ana tatizo la pressure?
 
Kwa nini usiende naye kituo Cha Afya ili wataamu wamuone na wakupe ushauri,humu kwenye jukwaa ni Kama unajiuzia mbuzi kwenye gunia,maana changamoto za huyo mjamzito hatuzijui.
 
Zingatia

1) Aina ya usafiri unaotumia

2) Hali yake ya kiafya mfano kama alishakuwa na complications za ujauzito akapewa masharti kadhaa, kwa mfano kama alishapata Miscarriage anaweza asiruhusiwe na daktari, kuna ninayemfahamu ana mimba ya miezi mitatu tu (3) lakini ameambiwa asipande bodaboda, at least bajaji au boxer kidogo kwa tahadhari.

3) Pia zingatia hali ya barabara mpaka hapo atakapofikia mwisho wa safari.

NB: Mimi kama mimi kama ni Mke wangu simsafirishi kabisa, namuacha apumzike hata kama barabara ni ya sakafu mwanzo mwisho.

Sikuhizi Mwanamke kubeba ujauzito salama mpaka stage ya mwisho sio jambo rahisi tofauti na zamani, mambo ni mengi sijui pressure za mimba n.k
Wangu ana miez ,,,,, lakin kaambiwa atulie tu.

Hata game cpgi dah
[emoji19]
 
Inawezekana mkuu, mimi mama mtoto wangu nilimsafirisha mimba ikiwa hiyo hiyo ya miezi saba.

Ila gari ilikuwa luxury.. siku kabla ya safari, nilimuambia asile chochote cha majimaji ili asikojoe njiani.

Na safari ilikuwa powa tena mnoo japo nlikuwa nahofia sana.. ilikuwa ni safari ya masaa 10
 
Back
Top Bottom