Ushauri: Naweza msafirisha Mjamzito wa miezi 7?

Ushauri: Naweza msafirisha Mjamzito wa miezi 7?

Anakwenda Tu Safi
Kigoma Mwanamke Anatoka Kazulamimba ~ Kasulu
Na Anakuwa Sawa Sawa Barabara Ni Rough
 
Hata kama amebakuza wiki moja tu safirisha.
Naomba ushauri kwa wazoefu, wataalamu, wajuzi n.k

Amebakiza miezi 2 kwa makadirio.

Ni safari ya almost 8Hrs, kutoka Dar kwenda mkoani.

Tayari nipo out of time, safari hio ni either kesho/keshokutwa or never.

Kama inawezekana, nini vya kuzingatia?

NOTE: ni kwa njia ya Public transport/Bus.
 
Una uhakika gani kuwa mimba ni ya kwako?? Tuanzie hapo
 
Ana tatizo?


Dah mie nilikula sana safari
Safari ya mwisho ilikuwa Mbeya-Arusha-Singida-Dar wiki mbili baadae nikajifungua [emoji28]
Dah uko vzr aisee..mm nakuaga siwez safari zile harufu za watu natapika mwanzo mwisho...
 
Kwanini asisafiri Mkuu?

Wanawake wa saiv mimba wanaona Kama ugonjwa mahututi, wanawake wa kijijini wanapiga kazi Kama Kawa wakiwa wajawazito ndio maana hawana changamoto za kujifungua.
Mama yangu alitoka kazini akaenda kujifungua mimi, lakini leo mke wangu mimba ina miezi mitano anaamka saa saba mchana
 
Miezi 7 mkuu huyo anasafiri bila wasiwasi kabisa
Mimi nilisafiri ujauzito ukiwa na wiki 37 (miezi 9 hiyo)umbali wa masaa 10,sikuwa na complication yoyote pia barabara ni lami mwanzo mwisho,nilipanda luxury bus seat ya mbelembele kuepuka ile hali ya kurushwarushwa pia sikusafiri peke yangu nilikuwa na mwangalizi.
Chakuzingatia

Asiwe na complication yoyote kuhusu ujauzito wake.

Fanya booking mapema apate seat ya mbelembele kuepusha kurushwarushwa, tafuta gari zuri ikiwezekana lenye choo

Asisafiri peke yake wajawazito hawaaminiki lolote linaweza kutokea muda wowote.

Barabara isiwe rough.
 
Nafikiri inategemea na afya ya muhusika tu, mwaka jana rafiki angu alimsafirisha mke wake kutoka Arusha hadi Sumbawanga, kufika Mbeya akalala stendi akaendelea na safari asubuhi. Akakaa kule wiki 3 tu akajifungua. Baada ya mwezi 1 na wiki 3 akaamsha tena kurudi Arusha tena peke yake, kuna wanawake ni visanga asee.
 
Dah uko vzr aisee..mm nakuaga siwez safari zile harufu za watu natapika mwanzo mwisho...
Basi wewe uko kama mke wangu. Akiwa na mjamzito from week ona mpaka karibu kujifungua kutapika ni kama pacha wake. Halafu yuko very sensitive kwa harufu. Week za kwanza kwanza ndiyo zaidi na hata mimi naambiwa nanukia vibaya.
 
Mama yangu alitoka kazini akaenda kujifungua mimi, lakini leo mke wangu mimba ina miezi mitano anaamka saa saba mchana
[emoji3][emoji3][emoji3] mwache apumzikeeee
 
Basi wewe uko kama mke wangu. Akiwa na mjamzito from week ona mpaka karibu kujifungua kutapika ni kama pacha wake. Halafu yuko very sensitive kwa harufu. Week za kwanza kwanza ndiyo zaidi na hata mimi naambiwa nanukia vibaya.
Yaani mm.had labor huwa lazima nitapike...
Mm ukitaka siku hiyo nisitapike nijifungie room nisikutane na mtu anayeitwa mwanaume...yaan sijui nisemeje...ni zaidi ya mateso..mm hata salamu tu ya mwanamume natapika hapo hapo..so siongeagi na mwanaume yyt kwa miez yote.9..hata ukiinita siitiki ndo pona yangu..otherwise ntantapika hapo hapo!

Mimi hubby nilikua nataka kila siku nigombane naye..sasa yy mpolee..bas ule upole mm nilikua nachefukwa balaa😅! Nataka mtiti tu nigombane naye rohoni nakua freshy balaa...sitaki kbs hayo mateso jamani! Bas kuna siku aliniambia aisee ukija conceive tena kwakweli.ntaomba ruhusa nikasome siwez kbs mbwembwe zako😃😃! Kweli bwana nilipopata ya 2 akaenda soma kbs🤣! Nilimmis balaa!nasubiri wa kike mayb ntabadilika na hizo moody swings
 
Dah uko vzr aisee..mm nakuaga siwez safari zile harufu za watu natapika mwanzo mwisho...

Sijawahi kutapika kwenye mimba ila tu kuna wakati nilikuwa nasimama mbele pale sababu ya miguu na mgongo,
Tofauti na hapo nakula almost kila kitu nasafiri natembea na kazi zote mwanzo mwisho

Changamoto yangu ni hasira tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Hana complications anaweza safiri bila shida.

Mimi ubishi uliniponza mimba ikiwa miezi 4 niliumwa nikafanyiwa scan nikaambiwa nikae bed rest. Kufika miezi 8 nikatakiwa nisafiri nikaona haina shida mbona najisikia fresh tu, kusema ukweli sikuwa naumwa Wala Nini Yani hata uchovu hamna.
Nlisafiri njiani nlijionea mauzauza mbona, sema nlijikaza tu kikike [emoji23][emoji23][emoji23]. 10hrs trip Nlifika saa 4 usiku straight hospital, kesho yake saa 6 mchana nikajifungua.
 
Back
Top Bottom