Ushauri: Naweza msafirisha Mjamzito wa miezi 7?

Ushauri: Naweza msafirisha Mjamzito wa miezi 7?

Niliingia tu washroom nikatoka na maji kindoo kidogo nikamwaga
Halafu nikafungua mlango Tayari kukimbia

Ila wanaume wanatuvumilia sana.

Hongera sana kwao
[emoji7][emoji7]
Nacheka mno jaman...yes wanajua kutuvumilia sana! Dah
 
Mimi kwangu ni madume tupu aise...kila mtu anataman kupata babygirl ..!

Basi inawezekana kwa mtoto wetu wa kike mahaba yalikuwa motomoto

Tukiwa mbalimbali lazima niwe na nguo yake
Nilivaa boxer mpaka najifungua zimetanuka kiuno [emoji23][emoji23]

Ila hao wa kiume sasa daaah purukushani kila kukicha
 
Isizidi sasa nayo ni kero
Nilikuwa nafua mpaka nguo safi kabatini

Au siku naamka usiku naanza kupanga nyumba nzima[emoji23][emoji23]

Sijui zile nguvu nilipata wapi!
Hahahaaa!
 
Sijawahi kutapika kwenye mimba ila tu kuna wakati nilikuwa nasimama mbele pale sababu ya miguu na mgongo,
Tofauti na hapo nakula almost kila kitu nasafiri natembea na kazi zote mwanzo mwisho

Changamoto yangu ni hasira tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukuru sn. Hio hali inatesa. Utatamani upige makelele kama ulopatwa na mapepo. Au ulie. Ddaah....wanawake tuna shida sie. Nashkuru nimemaliza kazi.......Alhamdulillah
 
Aisee nimecheka kweli kwani mke wangu hivyo hivyo. Hili la kulazisha ugomvi ndiyo usiseme. Nilikuwa nadhani ana-act na sikudhani yuko mwanamke mwingine anayefanya hivyo. Unaona sasa faida ya forum kama hizi. Nakumbuka kuna kipindi nilisafiri kurudi nikakuta picha yangu iliyokuwa ukutani ameishua na kutupa kule. Kumuuliza akasema inamletea kichefuchefu [emoji1787]. Nikilala kitandani ananiambia ondoka nitandike. Nikihamia sebuleni ananifuata. Kuna kipindi nilienda naye kwetu alinitia aibukwani hawezi kujizuia kabisa ana anakuwa na emotions kweli.
Na Ukisema umuhame...nongwa. Hio miezi 9 ikifika mpk mkampata mwenzenu na wewe uhoii [emoji1787]
 
Muambukize mke wangu
Mwache apumzike. Tunatofautiana mtu na mtu. Wengine mimba ikiwa changa inakuwa hivyo......uvivu na uchovu kila wakati kujisikia kulala...

Baada ya muda anakuwa active.....
 
Back
Top Bottom