JourneyMan
Member
- Apr 1, 2020
- 42
- 50
Panda ndege au private car.Naomba ushauri kwa wazoefu, wataalamu, wajuzi n.k
Amebakiza miezi 2 kwa makadirio.
Ni safari ya almost 8Hrs, kutoka Dar kwenda mkoani.
Tayari nipo out of time, safari hio ni either kesho/keshokutwa or never...
Kama inawezekana, nini vya kuzingatia???
NOTE: ni kwa njia ya Public transport/Bus.
[emoji1666][emoji1666][emoji106][emoji106]Zingatia
1) Aina ya usafiri unaotumia
2) Hali yake ya kiafya mfano kama alishakuwa na complications za ujauzito akapewa masharti kadhaa, kwa mfano kama alishapata Miscarriage anaweza asiruhusiwe na daktari, kuna ninayemfahamu ana mimba ya miezi mitatu tu (3) lakini ameambiwa asipande bodaboda, at least bajaji au boxer kidogo kwa tahadhari.
3) Pia zingatia hali ya barabara mpaka hapo atakapofikia mwisho wa safari.
NB: Mimi kama mimi kama ni Mke wangu simsafirishi kabisa, namuacha apumzike hata kama barabara ni ya sakafu mwanzo mwisho.
Sikuhizi Mwanamke kubeba ujauzito salama mpaka stage ya mwisho sio jambo rahisi tofauti na zamani, mambo ni mengi sijui pressure za mimba n.k
Ili mradi hutumii tractor kwa ajili ya hiyo safari basi hakuna tatizo. Na pia gari kama pick up haziko comfortable, hasa Toyota pich up, au gari yeyote inayotumia leaf springs. Kama una gari una suspension murua basi hutalazimika kumzalisha njiani.Naomba ushauri kwa wazoefu, wataalamu, wajuzi n.k
Amebakiza miezi 2 kwa makadirio.
Ni safari ya almost 8Hrs, kutoka Dar kwenda mkoani.
Tayari nipo out of time, safari hio ni either kesho/keshokutwa or never.
Kama inawezekana, nini vya kuzingatia?
NOTE: ni kwa njia ya Public transport/Bus.
Wangu ana miez ,,,,, lakin kaambiwa atulie tu.Zingatia