Ushauri: Nayateketeza mahusiano na mpenzi wangu kwasababu ya kutingwa na majukumu

Lighton

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
1,424
Reaction score
2,333
Wakubwa habari za usiku huu wa manane🖐️

Mimi ni kawaida sana kulala mida hii ya saa nane usiku, maana nina nusu saa hivi ndio nimetoka majukumuni na nina kama dakika 5 hivi nimetoka kula.

Haya ndio maisha yangu ya kila siku. Nimeshika simu sasa hivi, baada ya kukagua nyaraka zangu, nikajikuta nimeingia wasap, kucheki naona mara ya mwisho Shemeji yenu alinitumia msg juzi na wala sikuijibu hadi leo. Nimeona hata aibu kumtumia msg na yeye mwenyewe mpaka leo wala haangaiki na mimi.

Huyu shemeji yenu, alikuwa ananipenda sana, alitaka kunitambulisha kwa wazazi wake ila mimi sasa, kichwani kwangu ni ratiba za majukumu tu, sitaki kuacha hata sekunde. Yuko smooth sana, anatamani ningetulia niwe kama anavyotaka lakini mimi sasa!

Alihangaika sana kujaribu kuniweka karibu, kunipigia mara kwa mara, kunitext ndio alikuwa anajitahidi sana mpaka sasa imefikia amekata tamaa.

Najaribu kupanga ratiba zangu lakini wapi, najikuta lazima nisiache hata siku kwasababu mambo ni mengi lazima nitimize malengo yangu na kuweka sawa majuku yangu, umri unaenda kasi sana.

Nilitamani siku moja ningemwambia kwamba nafanya haya yote kwaajili yetu sote, lakini nahofia perception, unajua "uzito wa neno ni namna linavyopokelewa". Nimeona nikaushe lakini tukiongea huwa namwambia nina majukumu mengi sana.

Namzingatia katika mahitaji yake madogomadogo na hakuna shida kwenye hilo ila shida ni mawasilaano, shida ni muda, anasema mama yake ananitaja sana.

Ukipambania sana mpenzi unapoteza muda na pesa, na ukipambania sana pesa unapoteza mpenzi!

Natamani nimwambie haya yote lakini naogopa kwasababu nampenda sana🙏
 
Wakubwa habari za usiku huu wa manane🖐️

Mimi ni kawaida sana kulala mida hii, maana Nina nusu saa hivi ndo nimetoka majukumuni na Nina Kama dakika 5 hivi nimetoka kula.

Haya ndo maisha yangu ya kila siku. Nimeshika simu Sasa hivi, baada ya kukagua nyaraka zangu, nikajikuta nimeingia wasap, kucheki naona Mara ya mwisho Shemeji yenu alinitumia msg juzi na Wala sikuijibu Hadi Leo. Nimeona hata aibu kumtumia msg na yeye mwenyewe mpaka leo Wala haangaiki na Mimi.

Huyu shemeji yenu, alikuwa ananipenda sana, alitaka kunitambulisha Kwa wazazi wake Ila Mimi Sasa, kichwani kwangu ni ratiba za majukumu tu, sitaki kuacha hata sekunde. Yuko smooth sana, anatamani ningetulia niwe Kama anavyotaka lakini Mimi Sasa!

Alihangaika sana kujaribu kuniweka karibu, kunipigia Mara Kwa Mara, kunitext ndo alikuwa anajitahidi sana mpaka Sasa imefikia anekata tamaa.

Najaribu kupangq ratiba zangu lakini wapi najikuta lazima nisiache hata siku kwasababu Mambo ni mengi lazima nitimize malengo yangu na kuweka sawa majuku yangu, umri unaenda Kasi sana.

Nilitamani siku moja ningemwambia kwamba nafanya haya yote kwaajili yetu sote, lakini nahofia perception, unajua "uzito wa neno ni namna linavyopokelewa" nimeona nikaushe lakini tukiongea huwa namwambia Nina majukumu mengi sana, namzingatia katika mahitaji yake madogomadogo na hakuna shida kwenye Hilo. Ila shida ni mawasilaano, shida ni muda, anasema mama yake ananitaja sana.

Ukipambania sana demu unapoteza muda na pesa, na ukipambania sana pesa unapoteza demu!

Natamani nimwambye haya yote lakini naogopa kwasababu nampenda sana🙏
Fanya vile nafsi yako inaona tafuta hela alfu uje uzeeke bila familia au tafuta familia uje uzee maskini so akili kichwani mwako tu Mkuu
 
Muda unao vizuri tu,
Ukiamka unamtumia msg au unapigia simu,
Muda wa kula iwe breakfast/lunch/dinner unamjibu msg zake,
Umetoka kazini kabla hujalala unampigia atleast dk 5 tu.

Unataka kusema siku nzima kila sekunde unahudumia tu wateja?
 
Wakubwa habari za usiku huu wa manane🖐️

Mimi ni kawaida sana kulala mida hii, maana Nina nusu saa hivi ndo nimetoka majukumuni na Nina Kama dakika 5 hivi nimetoka kula.

Haya ndo maisha yangu ya kila siku. Nimeshika simu Sasa hivi, baada ya kukagua nyaraka zangu, nikajikuta nimeingia wasap, kucheki naona Mara ya mwisho Shemeji yenu alinitumia msg juzi na Wala sikuijibu Hadi Leo. Nimeona hata aibu kumtumia msg na yeye mwenyewe mpaka leo Wala haangaiki na Mimi.

Huyu shemeji yenu, alikuwa ananipenda sana, alitaka kunitambulisha Kwa wazazi wake Ila Mimi Sasa, kichwani kwangu ni ratiba za majukumu tu, sitaki kuacha hata sekunde. Yuko smooth sana, anatamani ningetulia niwe Kama anavyotaka lakini Mimi Sasa!

Alihangaika sana kujaribu kuniweka karibu, kunipigia Mara Kwa Mara, kunitext ndo alikuwa anajitahidi sana mpaka Sasa imefikia anekata tamaa.

Najaribu kupangq ratiba zangu lakini wapi najikuta lazima nisiache hata siku kwasababu Mambo ni mengi lazima nitimize malengo yangu na kuweka sawa majuku yangu, umri unaenda Kasi sana.

Nilitamani siku moja ningemwambia kwamba nafanya haya yote kwaajili yetu sote, lakini nahofia perception, unajua "uzito wa neno ni namna linavyopokelewa" nimeona nikaushe lakini tukiongea huwa namwambia Nina majukumu mengi sana, namzingatia katika mahitaji yake madogomadogo na hakuna shida kwenye Hilo. Ila shida ni mawasilaano, shida ni muda, anasema mama yake ananitaja sana.

Ukipambania sana demu unapoteza muda na pesa, na ukipambania sana pesa unapoteza demu!

Natamani nimwambye haya yote lakini naogopa kwasababu nampenda sana🙏
We ng'ombe ni kwamba usingizi umekata una mawazo mengi sababu ya madeni na shida. Kwl watu wengi wanaumwa akili
 
1000024220.jpg
 
Kwenye haya maisha, kitu cha muhimu sana huwa ni ku balance kati ya kazi na kuishi. Kumbuka muda tulio nao wa kutafuta hela na kuishi ni huo huo. Usidhani kwamba kuna siku itafika uwe umemaliza kutafuta hela ndio sasa uanze kuishi. Jitahidi kuishi wakati unaendelea kutafuta hela la sivyo utazeeka una mamilioni ya hela na hujawahi kuenjoy maisha.
 
Pole sana kiongoz
 
Na wazazi wako mnawasiliana saa ngapi? hivi hamjifunzi kitu kwa elimu ya bure anayowapa Diamonds Platinumz?
 
Kwenye haya maisha, kitu cha muhimu sana huwa ni ku balance kati ya kazi na kuishi. Kumbuka muda tulio nao wa kutafuta hela na kuishi ni huo huo. Usidhani kwamba kuna siku itafika uwe umemaliza kutafuta hela ndio sasa uanze kuishi. Jitahidi kuishi wakati unaendelea kutafuta hela la sivyo utazeeka una mamilioni ya hela na hujawahi kuenjoy maisha.
Shukran Kwa ushauri kaka
 
Kama muda tu wa kumjibu sms unakosa halafu unapata hadi muda wa kuandika gazeti refu kama hili nidhahiri kwamba muda unao sema tu humuhitaji au humpendi
Mitazamo haipingwi mkuu
 
Back
Top Bottom