Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Wakubwa habari za usiku huu wa manane🖐️
Mimi ni kawaida sana kulala mida hii ya saa nane usiku, maana nina nusu saa hivi ndio nimetoka majukumuni na nina kama dakika 5 hivi nimetoka kula.
Haya ndio maisha yangu ya kila siku. Nimeshika simu sasa hivi, baada ya kukagua nyaraka zangu, nikajikuta nimeingia wasap, kucheki naona mara ya mwisho Shemeji yenu alinitumia msg juzi na wala sikuijibu hadi leo. Nimeona hata aibu kumtumia msg na yeye mwenyewe mpaka leo wala haangaiki na mimi.
Huyu shemeji yenu, alikuwa ananipenda sana, alitaka kunitambulisha kwa wazazi wake ila mimi sasa, kichwani kwangu ni ratiba za majukumu tu, sitaki kuacha hata sekunde. Yuko smooth sana, anatamani ningetulia niwe kama anavyotaka lakini mimi sasa!
Alihangaika sana kujaribu kuniweka karibu, kunipigia mara kwa mara, kunitext ndio alikuwa anajitahidi sana mpaka sasa imefikia amekata tamaa.
Najaribu kupanga ratiba zangu lakini wapi, najikuta lazima nisiache hata siku kwasababu mambo ni mengi lazima nitimize malengo yangu na kuweka sawa majuku yangu, umri unaenda kasi sana.
Nilitamani siku moja ningemwambia kwamba nafanya haya yote kwaajili yetu sote, lakini nahofia perception, unajua "uzito wa neno ni namna linavyopokelewa". Nimeona nikaushe lakini tukiongea huwa namwambia nina majukumu mengi sana.
Namzingatia katika mahitaji yake madogomadogo na hakuna shida kwenye hilo ila shida ni mawasilaano, shida ni muda, anasema mama yake ananitaja sana.
Ukipambania sana mpenzi unapoteza muda na pesa, na ukipambania sana pesa unapoteza mpenzi!
Natamani nimwambie haya yote lakini naogopa kwasababu nampenda sana🙏