Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

Jinsi watu wanavyozani Ni rahisi kupata pesa ukiwa ulaya

 
Wadau mimi nahitaji kwenda Ulaya kutafuta maisha, nauli ninayo hivo naombeni ushauri kwa anaefahamu nchi gani in Europe ina urahisi wa kupata kazi yoyote pia urahisi wa visa pia mahali pa kufikia ????? Wadau naombeni msaada wenu kwa anaefahamu.
Hope upo Europe kwa sasa.
Tupe mrejesho
 
Ila nikushauri kitu mkuu, kuwa makini sana maana humu wapo matapeli, wengi watajifanya ni mawakala na wengine wanajua kukuunganishia kazi mahali, watakupiga hela sana, mfano wa matapeli hao kuna katerlo, britannica na kuna mwingne jina limenitoka, ni matapeli hawa watu. So kuwa makini na bora ukakaa chini tuliza akili usikubali mtu wa hapa akuambie umtumie hela yeyote kwaajili ya ishu yako hii
[emoji102]
 
Wadau mimi nahitaji kwenda Ulaya kutafuta maisha, nauli ninayo hivyo naombeni ushauri kwa anaefahamu nchi gani in Europe ina urahisi wa kupata kazi yoyote pia urahisi wa visa pia mahali pa kufikia ?????

Wadau naombeni msaada wenu kwa anaefahamu.
Nchi yoyote Ile, changamoto ya kwanza ni vipi uishi kihalali( makaratasi). Makaratasi utayapata kama mkimbizi, ukioa raia au mtu anaeishi kihalali, shule( mwanafunzi) au kazi uliyopata mmoja kwa mmoja kutoka nchini kwako( wengi watu wa IT).Sehemu kama UK na USA unaweza survive muda mrefu bila makaratasi.
 
Mkuu kwa sie wa Tz ni ngumu sana kupata msaada wa kitu hiki, hata kama wanao weza kukusaidia wapo lkn huwa ubinafsi umetutawala sanaa
Ushauri wangu ww jaribu mwenyewejanaa vamia ktk balozi kadhaa fanya application then utaona matokeo
 
Back
Top Bottom