Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

Kila siku mnawatukana wabeba maboksi na wanadiaspora kuwa warudi bongo eti bongo mambo poa!
Kulikoni unataka kuondoka bongo ambako ni tambarare?
Anyways, mtafute Nyani Ngabu na mkuu Copenhagen DN watakupa ushauri
Hahahaa!siku hizi sizioni zile thread za kuwasema hovyo wabeba box..teh! teh! Muda ni muamuzi mzuri sana aisee!!
 
Kusafiri kwenda ng'ambo kunahitaji ujasiri sana, muda mwingine unaweza kuhisi umechanganyikiwa lakini amini hata siku unaanza safari utakutana na wazamiaji wezako iwe kwenye ndege, basi ama meli. Ukifika utashangaa unakutana na wenyeji tena mnatokea mkoa mmoja. Nakuambia hautajuta hasa ukiwa na tabia njema, kujituma na kujishusha. Utofauti wetu wazamiaji ni aina ya safari yako iko vipi. Ukiwa na mwenyeji mbona utajuta hata kufikisha umri huo hujazamia. Nenda bwana japo mimi ulaya sijawahi kupawaza tofauti na South Africa&Botswana ambapo wanaishi mashemeji zako
Hapo kwenye red,
Mkuu ukiandika "utajuta" badala ya "hutajuta" unakua hueleweki una maanisha nini hasa??!!!!
 
Sasa kama unataka kwenda ughaibuni halafu hata neno paper hujajua linamaana gani italuwa shida kunielewa. Ulizia watu wako wa karibu walioighaibuni nini maana ya paper na umuhimu wake katika kujitafutia ridhili ukiwa huko
Hii comment ingetosha kumuelekeza mkuuu
 
Njoo huku Brunei itatoboa, kumbuka kubeba nidhamu halisi vinginevyo utajuta. Mambo ya pambuchi za watu walioolewa kaa mbali nazo.
hamna ubaguzi uko kwa wageni sana sana kutoka africa?
 
Wadau mimi nahitaji kwenda Ulaya kutafuta maisha, nauli ninayo hivo naombeni ushauri kwa anaefahamu nchi gani in Europe ina urahisi wa kupata kazi yoyote pia urahisi wa visa pia mahali pa kufikia ????? Wadau naombeni msaada wenu kwa anaefahamu.
Nipo Europe, njoo inbox
 
Nakushauri kwa dhati ya moyo wangu. Jifunze udreva wa tax na mabasi kisha nenda Doha ama Dubai kafanye kazi ya udreva. Nafasi ni nyingi sana. Nchi hizo zimeendelea sana pia wageni ni wengi sana. Miaka ya hivi karibuni Ulaya pamekuwa si mahali pa kukimbilia. Nafasi za kazi hakuna na si kama zamani. Kwa zaidi njoo inbox nikushauri. Kuna jamaa zangu kadhaa wako huko watakupokea.
Kaka nami nimevutiwa na ushauri wako, nami nahitaji hizo fursa,waweza niunganisha!? 0762 983624
 
Hii ni kweli kabisa ila hapa swala sio nauli tuu inatakiwa uandae fungu la kutosha ,,at least mil.5 hapa unaweza kujiachia kabisa kuhusu kazi zipo nyingi unless uwe mchaguzi wa kazi ,,cha muhimu ni afya bora na kujituma that's all ,,,you better die trying mkuu kuliko kulia na serikali ya magu
Balaaa
 
Wadau mimi nahitaji kwenda Ulaya kutafuta maisha, nauli ninayo hivo naombeni ushauri kwa anaefahamu nchi gani in Europe ina urahisi wa kupata kazi yoyote pia urahisi wa visa pia mahali pa kufikia ????? Wadau naombeni msaada wenu kwa anaefahamu.
Haaahaa tupo wengi
 
Back
Top Bottom