Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

Mkuu kama unamalengo ya kwenda ulaya hata kama umepata nauli nataka nikupe ushauri kwanza kabla ya kufikiria kwenda Ulaya ungetafuta hata nchi yenye uchumi wa Kati au ungezamia nchi km South Africa pale ukikomaa ht kweny kunyoa saloon au shughuli ndogondogo za halali unaweza kusave pesa ukapata nauli ukaibukia nchi za Scandinavia au East Europe pale ukikomaa ht USA unaweza kufika Ila mkuu experience yke unaweza kujikuta homeless pia kumbuka maisha sio rahisi kama unavyodhani kwamba unaweza kutoboa fasta ukienda ulaya sema kule kuna kazi ambazo ungekuwa umezaliwa kule usingezifanya Ila zinalipa fresh unaweza kusave nakuja kutia heshima nyumbani lakini yote inawezekana mkuu kuna watu wana good life wapo ughaibuni Na elimu km yko.
 
Ulaya maisha nati sana kwa sasa mkuu.Kama unaweza nenda New Zealand,huko Kuna kazi za kumwaga but hakuna man power,baridi Ni kali Sana,but pia wanatoa offer ya kukusomesha kwa skill utakayokua unaifanyia kazi.But tatizo ni mpaka uwe card Fulani hivi ya kukutambulisha kwamba upo nchini kihalali.But kuipata huyo card hapo ni shida tupu.
 
Huko newzland unapataje visa ?
 
Haha mkuu mimi mwenyewe mpigaji kaa mbali namii (jokes)
Unajua mtu mwingine hata akikuambia yeye ni jambazi wewe bado unamuamini tu, na kutokana na Imani yako kwake na yeye akajua kuwa unamuamini hawezi kukufanyia wewe umafia......unaweza kumuona live kabisa anampiga mtu machine gun lakini bado ukamtetea kuwa walimkosea
 
Mkuu nyakati za sasa sio za kumwamini mtu kiurahisi. Japo kuna mazingira hutubidi tutake risk tu maana hakuna namna. Usipokuw na imani hufanyi kitu
 
Exactlly sir!the more you risk the more you gain.
 
Mkuu nyakati za sasa sio za kumwamini mtu kiurahisi. Japo kuna mazingira hutubidi tutake risk tu maana hakuna namna. Usipokuw na imani hufanyi kitu
Upo sahihi mkuu, kweli tahadhari ni bora lakini kwa mazingira na hali halisi za sasa hivi umdhaniaye ndiye kumbe siye
 
Back
Top Bottom