Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,898
- 5,020
Yeye ndio akucheck tena!!! Mimi nadhani hekima ni wewe mwenye uhitaji ndio umcheck.Matunge naomba unicheck on watsapp 0656747074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndio akucheck tena!!! Mimi nadhani hekima ni wewe mwenye uhitaji ndio umcheck.Matunge naomba unicheck on watsapp 0656747074
Kusafiri kwenda ng'ambo kunahitaji ujasiri sana, muda mwingine unaweza kuhisi umechanganyikiwa lakini amini hata siku unaanza safari utakutana na wazamiaji wezako iwe kwenye ndege, basi ama meli. Ukifika utashangaa unakutana na wenyeji tena mnatokea mkoa mmoja. Nakuambia hautajuta hasa ukiwa na tabia njema, kujituma na kujishusha. Utofauti wetu wazamiaji ni aina ya safari yako iko vipi. Ukiwa na mwenyeji mbona utajuta hata kufikisha umri huo hujazamia. Nenda bwana japo mimi ulaya sijawahi kupawaza tofauti na South Africa&Botswana ambapo wanaishi mashemeji zakoWadau mimi nahitaji kwenda Ulaya kutafuta maisha, nauri ninayo hivo naombeni ushauri kwa anaefahamu nchi gani in Europe ina urahisi wa kupata kazi yoyote pia urahisi wa visa pia mahari pa kufikia ????? Wadau naombeni msaada wenu kwa anaefahamu.
Usipende kuweka namba zako hadharani hasa kipindi hiki unajiandaa kuzamia, bora umpatie mtu aliyeko Ulaya unayefahamiana nae. Mpatie mtu private mkuuMatunge naomba unicheck on watsapp 0656747074
Jihadhari!!! Kuna matapeli wengi usije lia.....Matunge naomba unicheck on watsapp 0656747074
Asante mkuuKusafiri kwenda ng'ambo kunahitaji ujasiri sana, muda mwingine unaweza kuhisi umechanganyikiwa lakini amini hata siku unaanza safari utakutana na wazamiaji wezako iwe kwenye ndege, basi ama meli. Ukifika utashangaa unakutana na wenyeji tena mnatokea mkoa mmoja. Nakuambia hautajuta hasa ukiwa na tabia njema, kujituma na kujishusha. Utofauti wetu wazamiaji ni aina ya safari yako iko vipi. Ukiwa na mwenyeji mbona utajuta hata kufikisha umri huo hujazamia. Nenda bwana japo mimi ulaya sijawahi kupawaza tofauti na South Africa&Botswana ambapo wanaishi mashemeji zako
Kuna watu na viatu, we ni kiatu. Kwani somalia ni ulaya. Jifunze kuwa great thinker.Kwa elimu hiyo uliyonayo nakushauri uhamie somalia
unge mpa pm mkuu kuanika namba yako hapa sio vyemaMatunge naomba unicheck on watsapp 0656747074
Kuwa wazi watu wengine wasitapeliwe. Nani kakutapeli madam?ndugu kuwa makini mimi pia nimeshajalibu kungaaikia hii issue nimetapeliwa na membar wa humu ndani mpaka nimekosa tumain japo ndoto yangu haijafa
Mh huyo mtu ni kwikwi sana yaani kanivurugia uaminifu wote wa watu watoa ushauri wa nje ya TZMtafute britanicca
Kirusi hicho 😀 😀 😀 😀 😀 😀Mh huyo mtu ni kwikwi sana yaani kanivurugia uaminifu wote wa watu watoa ushauri wa nje ya TZ
Huyo tapeli tu,nicheck pm nikusaidie kufika huku Norway.Duuu afadhari mmenistua mapema nilikuwa najiandaa kumtafuta anisaidie duuuu kumbe ndo walewale
MhHuyo tapeli tu,nicheck pm nikusaidie kufika huku Norway.
Tumwamini nani?